Very sad indeed

Binti Maringo

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
2,804
87
I was wtching thid movie on lifetime its a true story about Gwen Araujo wh was born a male. He/she was 17 when she was killed in 2002. Her male friends were angry to discover that she was a transgender and they killed her.

And a picture below ni picha ya Gwen...who could have believed she was a he?..how could people do such a thing and kill her?/ I dont if she did anything wrong.... its her choice to choose who she want to become unless i am wrong.....I know watu wanazaliwa wanaume lakini wanakuwa na hormones za kike...According to gwen seems like alikuwa na hormone za kike kuliko za kiume ila tuu amezaliwa mwanaume.

41044.jpg
 
Its very sad indeed. Huo ndio ukweli wa mateso wanayokumbana ndugu zetu hawa waliozaliwa wanaume ila hormones ni za kike. Kosa la Gwen ni expression of who she is even if was born he.
Angalau Gwen amejiexpress, mamia kwa maelfu ya watu wa aina ya Gwen, they live in agony of hiding their real self to avoid public ridicule. Bado wengi wetu wanaamini its the choice ndio maana wanawacheka na kufikia kiwango kama cha yaliyomkuta Gwen. Bado jamii zetu zinaukosefu mkubwa wa uelewa hali za watu wa namna hii na lack of differential tolerence ndio imepelekea kifo cha Gwen, hali ambayo ipo kwenye jamii yetu mpaka leo.
Tubadilike kwa kuwakubali akina Gwen wetu na tuwape uhuru wa kuchagua kuishi kwa jinsi walivyoumbwa na ionekane ni jambo la kawaida.
 
Kwa kweli hilo ni tatizo maana kwa jamii ya kwetu huku Afrika bado uhuru wa mtu kufanya mambo ambayo kwake anadhani ni sahihi bado kitendawili
 
Back
Top Bottom