Very inspiring.....very lovely picture of sextuplets

hao watoto walizaliwaje?mmh

Mara nyingi hii inakuwa ni matokeo ya kutumia fertility drugs. Labda mwanamke alikuwa hapati watoto kwa hivyo wakaamua kutumia hizo drugs ambazo huwa zinatoa mayai mengi kwa wakati mmoja. Na kwa vile fertilisation huwa inafanyika siku moja au hata mbili ndiyo hupata watoto wengi namna hii.

Au wengine wanapandikizwa mayai ambayo tayari yako fertilised na yote yakafanikiwa kutengeneza watoto.
 
Anahitaji batch management rearing system otherwise mama hawezi kunyonyesha wote hao.
 
ukajidanganya hiyo ni baraka,kumbe umezaa bila kuangalia uwezo wa kuwatunza jiandae na majagwa (mateja) 3,kibaka mpiga ndole 1,jambazi mzoefu 1 na jishoga moja...
 
hapo usikie tu kwa jirani, yakikufika utatamani ukimbie dunia.................... kuwakuza hao ni balaa hasa bongo kwetu, malaria kila siku!
Hii ilitokea in USA, kwa taarifa hii couple kwa kuitumia vema hii picha, wamekuwa matajiri sana na malezi kwao haina tabu. Suala ingekuwa Bongo, ngoma ingekuwa nzito. Mungu awape maisha marefu.
 
sipati picha, huyo mama tumbo lilikuwaje?, dhu na wakati wa kujifungua ilikuaje?? aahh napata maswali mengi hakika.

hongera kwa familia husika na Mwenyezi Mungu awakuzie na kuwalinda watoto hao.
 
At first when I saw this photo,i thought it was fake...until i went online and saw what Oprah did to this family..Its so inspiring indeed!
 
Back
Top Bottom