brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,268
Katika hali ya kushangaza leo mwanadada huyu mrembo ameamua kuweka hadharani hali halisi aliyokuwa nayo katika mahusiano na mniger Yommy kutoka Dubai. Mahusiano yalikuwa ya vipigo, mwanaume hakuwahi kumuhudumia, etc mambo yote kaweka na ushahidi kitu kilichoshangaza watu huko Instagram
My take:
Kumbe hawa warembo maarufu na wao huwa wanaumizwa na kuwa kwenye mahusiano yenye mateso kama sisi wa uswekeni hata average Joe's wanaweza kuwapata hawa wadada nilijua wana hang out na madangote ya ukweli, mwanamke mtafutaji, mrembo etc unawezaje kusumbuliwa na marios, khee!!