Vengu

Kasimamishwa kazi na kiongozi Wakuvywanga (Isaya Mwakilasa) kwa tuhuma kuwa alilewa na kuliwa uroda na watoto wa kihuni. "Kusema kweli hii inaniuma sana. Hizi tuhuma hazina ukweli. Nimewamiss wapenzi wangu. Vakuvywanga kanionea na hakunipa nafasi ya kujitetea zaidi ya kunituhumu kuwa nimetia aibu kundi." alinukuliwa Vengu (Joseph Shamba) huku machozi yakimlengalenga.
 
nimekupata mkuu, but sijui adhabu yake inaisha lini sababu naona sasa itakuwa kama miezi 6 sasa.
 
Shida dogo vengu alikuwa anajipamba kama demu na katabia kake ka kulewa pombe watu wakampamba vile vile na kumla tigo, alifikiri nini wakati anajifanya demu, hajui wabongo kikubwa wanachopenda ni kutwanga kote kote. Na hao waliobaki si wasafi kivile.
 
yeyee alitegemea nini kulewaa chakari na kuact kikekike vile maraa gageuza machoo,kajikwatuaa..watu wakatwangaaa mzigoo.ila polee ndo ujifunzeee vengu
 
kaaaaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli......................nadhani aliyechangia mwanzoni alisema hizi ni 'tetesi' na bado hazijathibitishwa......kah! kumbe si noma eh?!!!1
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom