nimekupata mkuu, but sijui adhabu yake inaisha lini sababu naona sasa itakuwa kama miezi 6 sasa.Kasimamishwa kazi na kiongozi Wakuvywanga (Isaya Mwakilasa) kwa tuhuma kuwa alilewa na kuliwa uroda na watoto wa kihuni. "Kusema kweli hii inaniuma sana. Hizi tuhuma hazina ukweli. Nimewamiss wapenzi wangu. Vakuvywanga kanionea na hakunipa nafasi ya kujitetea zaidi ya kunituhumu kuwa nimetia aibu kundi." alinukuliwa Vengu (Joseph Shamba) huku machozi yakimlengalenga.