Vengu wa orijino komedi katoka hospital?

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Mwenye taarifa kamili atujuze wakuu,maana mengi mabaya juu ya hali yake yalisemwa sana,lakini nasikia dogo kawa discharged nayuko bomba
 
mmh mbona nilisikia amedanji huyu mtu jamani tupeni data za kweli
 
Huyu bado yupo mu2 sema ametoka ICU na ameenda kwenye ward za wagonjwa wasiohitaji uangalizi maalumu
 
huwa siamini uchawi ila mtu ukifungua studio kama msanii wanakulostisha maisha foreva,ukiwa msanii bora nako matatizo sijui kwann hawapendani? anyway nimesika ya mr ebo hata madaktari walikuwa wanashangaa akiwekewa damu inapotea gafla haya vengu nae kukaa kote ICU ugonjwa gani huo?? Inabidi maombi yafanye kazi.
 
hata mimi ningependa kujua hali yake jamani, ajuaye atujuze please....... inasikitisha kusikia mtu anaumwa muda mrefu na vyombo vya habari havisemi lolote, wanasubiri akifa ndo wanampa kipindi maalum, this is nonsense. Ya Mr. Ebbo ilinisikitisha kujua kuwa aliugua kwa muda mrefu but hakuna chombo cha habari kilichomuongelea wakati wa ugonjwa wake.

Mungu ampe afya njema, apone arudi kazini.
 
Back
Top Bottom