Vengu wa komedi origino atoka kifungoni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vengu wa komedi origino atoka kifungoni...

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Leornado, Dec 30, 2010.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Baada ya kupigwa ban na viongozi wake kundini kutokana na ulevi wa kupindukia na utovu wa nidhani, hatimaye msanii Vengu kamaliza kifungochake na yupo on air tena. Kwa wale WAPENZI wake kaeni mkao wa KULA na nahisi kajirekebisha kosa lake na kuja mavitu mapya from bench.
  Pichani ni msanii Vengu akiwa studio za Klauzifm.


  [​IMG]
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Macho yake yanaonekana bado anapiga kilaji kama kawaida,ngoja tuone ana nini kipya.
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ana matatizo makubwa kuliko tunavyofikiri

  [​IMG]
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  alishaanza kunenepa...sasa naona amepungua....kwa nini asipunguze pombe?
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  inawezekana ikawa ndio maana anakunywa kupindukia?
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Uko sahihi kabisa... akishaanza kulewa anakua:rant:kisha baada ya hapo ndio:faint:halafu watoto wa uswazi wanamega kishua
   
 7. Kibaraka

  Kibaraka JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! Preta una uhakika? umeshawahi kumuona??
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  safi sana kama ameamua kubadilisha tabia!!
   
 9. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  alaa....kumbeee.....!!!!nguli huihitaji kufafanua hiyo picha inajitosheleza.........sasa naanza kupata picha ya huyu dogo!
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  sijawahi kumuona ila ni kutokana na picha....halafu hii avatar yako bana.......
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Acid bana.....
   
 12. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Preta unasema apunguze pombe ili atumie nini? Mi naona ni bora aendelee kutumia pombe kuliko kuanza kunya fanta!!

  Si unajua starehe ya wanywa fanta hapa mjini?
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Nyie darasani mlikuwa njema sana......mnasoma katikati ya mistari haraka sana
   
 14. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mbona anaonekana bado amelewa?
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ohoooooooo, hiyo fakt mazee... baada ya hapo anaishia:A S-cry: na kushangaashangaa :eek2::A S-confused1:tu na kujiona kama ...:baby:. mtaani watu wanam.... :grouphug: wengine wamebakia ulimi nje :A S-eek:

  Mama weeee bora nikae :tape2:

  But the truth ni kwamba pombe haiwezi na salama yake ni kukaa mbali nayo
   
 16. L

  Leornado JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  dah kweli pombe ilimkolea maana naona kalegea hadi Kinyaiya kamsaidia na anatoa bonge ya smile. Safari kajipanga fresh ni kazi tuu.
   
 17. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  hii picha hii inanifanya nimuhitaji huyu kijana
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  sio huyo aliyeko nyuma yake.....halafu mbona wote kama......!!!!!!??
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Nadhani atabadilika sasa awe safi mtu mzima!
   
 20. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Preta huyo wa kati anajua kuegemea kuliko hata mama nanihiii wangu so ataniliwaza..... ila huyo wa nyuma haelewekieleweki isije ikawa tabu ndani
   
Loading...