VENGU (Joseph Shamba) anaumwa, kalazwa Muhimbili tumuombee na kumjulia hali

pole sana kwa Vengu. wapi manji kwa safari ya india????
 
ugonjwa wa vengu unaitwa brain tumer sijui kama nimepatia spelling, lakini unausiana na upotevu wa fahamu ghafla na ukimuona mtu wa aina hiyo unaweza kuhisi kalewa!
 
YAni vengu ananiuma ki ukweli kutoka moyoni , i wish ningekuwa na uwezo ningempeleka india jamani ..
 
Mhhh Ugua pole Vengu tunakukumbuka ulinogesha sana Kampeni za JK sasa hivi yupo Ikulu anakula kuku kwa mrija alistahili akukumbuke angalau wakukimbize India upatiwe na wewe matibabu naamini bila ze comedy JK alikuwa chaliiii sasa amewatupa. Jamani wana CCM mchangishane muokoe maisha ya kijana wenu 2015 atawasaidia tena.
 
Hivi mnadhani india wanatibu kila ugonjwa. Na mnahakika muhimbili wameshindwa? Tisipende kuconclude kila mgonjwa lazima aende india tu tujue kwanza anaumwa nini na je madaktari wamethibitisha hapa hatibiki? Wapi Jason Bourne hebu kachunguze utupe a to z ili wamkimbize india or?
 
Mwaya kweli, India sanasana wanatibu magonjwa yanayoambatana na siasa. Kama sio mwanasiasa ugonjwa hautoonekana.
 
IMG_0650.jpg

IMG_0653.jpg
JK amtembelea Vengu
 
Mhhh Ugua pole Vengu tunakukumbuka ulinogesha sana Kampeni za JK sasa hivi yupo Ikulu anakula kuku kwa mrija alistahili akukumbuke angalau wakukimbize India upatiwe na wewe matibabu naamini bila ze comedy JK alikuwa chaliiii sasa amewatupa. Jamani wana CCM mchangishane muokoe maisha ya kijana wenu 2015 atawasaidia tena.

JK ameshamtembelea Vengu hospitali, ndo analipa fadhila....

IMG_0650.jpg
 
Kwanini lisinge ugua limasanja linakera sana siku hizi.

Mkubwa! Tema mate chini! Usimnyoshe mwenzio kidole ktk ugonjwa kwani ni hatari hata kwako. Tumtakie KHERI na apone mapema. Na bila shaka MUNGU hamwachi mja wake na atapona mapema tu. Mi nafsi yangu nitaingia ktk maombi kwa sababu ya watoto wangu wamemmiss sana jukwaani na hakika atarudi mapema tu! Amen!
 
Namtakia amani na utulivu Vengu, alianza vizuri sana, aliandika kitabu kizuri sana... lakini naona baada ya kuingiza ze komedi alipotea njia kijamii, naomba apone ili awe mwalimu mzuri kwa vijana wote hasa kuhusu umaarufu na ujana

He was the brightest, yet sometimes alikua anahribu sana juu ya pombe

Ugua pole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom