Hata mimi nilikuwa najiuliza anaumwa nini, lakini kwa jinsi watu walivyojibu sijapata jibu la maana mpaka sasa.
naona kila wiki kwenye origino komedi masanja lazima amalize kwa kusema jamaa anaumwa.
Naona mpaka mtu afe ndiyo waanze kusikitika, jamaa alikuwa nyingi........!hata mie naona watu wanaleta masihara tu hapa.................. Mwenye taarifa za ugonjwa wa kijana mwenzetu atujuze ili tumuweke kwenye maombi na duaaa........apone.................
Kumbe, daah ajali noma sana yaani maelfu ya watu wamemezwa na barabara.alipata ajali Morogoro road
alipata ajali Morogoro road
Wakati mwingine tujifunze kuweka utani pembeni kwenye mambo ambayo yako serious. Vengu anaumwa kweli, tena sana, anakaribia kumaliza mwezi yupo kitandani wala hajitambui, wiki iliyopita madaktari muhimbili walimuhamishia ICU baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya..anahitaji maombi yetu kwakweli, acha utani ndugu yangu, mwombee mwenzio sababu hajapenda kulala kitandani, nna hakika hakuna anayejiombea ugonjwa, kila mtu angependa kuwa na afya njema siku zote.. Ila kumbuka pia kuna mipango ya Mungu!anaumwa ugonjwa wa mrema..upupu wa milele yaani kujikuna mwanzo mwisho
Ni kweli sio ajali...alizima ghafla wakafikiri ni malaria, akatibiwa hakupata nafuu kabisa baada ya hapo akafanyiwa vipimo zaidi, nafikiri ndipo sukari ilipogundulika...tunamwombea kwa mungu apone upesi..Kweli jamaa anaumwa sana, sidhani kama ni ajali. Tulisikia kuwa anasumbuliwa na kisukari. Hakujua historia ya ugonjwa inavyosemekana mpaka hali ikafikia ilipo. Mungu atampa nguvu na atarejea katika maisha yake ya kawaida.