Venezuela Pres. Nicolas Maduro Anusurika Kuuawa

Colombia’s Foreign Ministry has vehemently denied involvement in the attempt on Maduro’s life. In a strongly-worded statement, it called the claims “absurd” and “lacking all foundation.” However, Colombian President Juan Manuel Santos also told AFP earlier this week that the days of Maduro in charge of the country were numbered.
=====
Moscow imechukizwa na shambulio hili.

Hivi kwa nini asianzie kwake kwanza kutafuta mchawi?!, kila kitu analaumu nje wakati ni mmoja wao anaetaka kupoteza Upinzani.
Kwenye jaribio la kwanza alidai kuwa those hit men received orders from Washington.
Obama alivyokanusha kuwa hana idea with those claims, Maduro akapinga kuwa how could he not know, at his position.

How does that make any sense?!
 
Inaonekana it's worse than what we know.
Inasemekana hali imekuwa mbaya kwa kiasi cha kufikia ilipofika Zimbabwe.
Imagine na Mafuta yote yale.
Zimbabwe ina afadhali, Juzi nimesoma article moja hivi inasema kwamba inflation ya Venezuela inakaribia kufikia 1000000% (asilimia milioni moja)
 
I beg to differ. There is no aspect of poor leadership on their part.

Your tone epitomes support for the West against Cuba and Venezuela and their malicious intentions to rob them of their oil reserves.
Mhhh. I never believed 100% in blaming the West for everything. Ingawa kuna kaukweli fulani. On the other hand, how do you explain these factors as far as leadership is concerned:
- unemployment- Watu wangi hawana kazi.
- lack of economic diversification- dependence on oil
- Brain Drain- wananchi wanakimbia nchi every day
- Corruption and nepotism: bila kuhonga au kuwaconnected haupati huduma muhimu za jamii.
- Inflation: Pesa haina thamani hata kidogo na prices for goods and services keep rising

If you can't solve these problems, kwa nini unataka kuwa kiongozi? And why you should not be blamed?
 
Hivi kwa nini asianzie kwake kwanza kutafuta mchawi?!, kila kitu analaumu nje wakati ni mmoja wao anaetaka kupoteza Upinzani.
Kwenye jaribio la kwanza alidai kuwa those hit men received orders from Washington.
Obama alivyokanusha kuwa hana idea with those claims, Maduro akapinga kuwa how could he not know, at his position.

How does that make any sense?!
wiki hii rais wa colombia amesema siku za Maduro zinahesabika , wiki haijaisha, Maduro anashsmbuliwa na drones utaichomoaje Colombia kwenye njama hizi!?
 
O.M.G! 😰
Venezuela anauza mafuta kwa criptocurrency, hiyo inflation inapahdishwa mna na financial conmen ili kiogopesha wawekezaji.... baada ya kuona criptocurrency inataka kuikwamua venezuela...wameonaw walete vita nchini humo kwanjia ya mauaji....
Narudia, Moscow amekasirika!!
 
Mhhh. I never believed 100% in blaming the West for everything. Ingawa kuna kaukweli fulani. On the other hand, how do you explain these factors as far as leadership is concerned:
- unemployment- Watu wangi hawana kazi.
- lack of economic diversification- dependence on oil
- Brain Drain- wananchi wanakimbia nchi every day
- Corruption and nepotism: bila kuhonga au kuwaconnected haupati huduma muhimu za jamii.
- Inflation: Pesa haina thamani hata kidogo na prices for goods and services keep rising

If you can't solve these problems, kwa nini unataka kuwa kiongozi? And why you should not be blamed?
Akikujibu ni tag
 
I thought they were bullet proof, but they seem a bit soft.
The vagina is a soft organ but it can take a lot of vibration force that if that same force were used on a human skull it could break it. It's not the softness that matters but rather the kind of materials and structure of an object used to absorb an impulse ( a vector quantity that can be expressed as an integral of force over time ).
 
Kila mtu ataelewa hapa!
 
Yule wa Puerto Rico sijui atakoswa koswa lini na alivyo lioga haki sijui itakuwaje
 
wiki hii rais wa colombia amesema siku za Maduro zinahesabika , wiki haijaisha, Maduro anashsmbuliwa na drones utaichomoaje Colombia kwenye njama hizi!?

JST because ametishia sio lazima awe yeye, Tujitegemee. Sio kama nakataa lakini maadui zake sio Colombia pekee.
Moscow amekasirika anajua ni mkono wa CIA?!, as if sanctions wanazowachapa hazitoshi..

...
Narudia, Moscow amekasirika!!
 
1544115590990.png

Caracas and Moscow have signed $5 billion US dollars’ worth of contracts related to oil production during President Nicolas Maduro’s visit to Russia, Maduro tweeted a day after meeting with President Vladimir Putin.
Maduro announced the deal on Twitter, thanking Putin and the people of Russia.
“Contracts have been signed to guarantee investments for $5 billion to increase oil production with Russian partners of joint ventures,” Maduro said.
======
Russia kaenda kuwekeza kule. Kuweni waangalifu ninyi mnaochezea 'sharubu' za Maduro.
 
Hao waliokosea target ni vema wakapotezwa.Jitu kwa ujuaji wake limeharibu nchi halafu lionewe huruma,kwa lipi?
 
In fact Maduro si ngangari kama the late Hugo. Anajaribu lakini mabwana walishaamua. Hugo alipambana akaweza. Lakini, mwisho wa siku wakamuua kwa kumpandikizia seli za saratani.
 
inakoendea venezuela lazima wataanza kuzichapa wao kwa wao, maisha magumu inflation inakaribia asilimia milioni moja, kila kukicha watu wanakimbia nchi, colombia mpk sasa ishapokea wakimbizi laki nne, kwakweli maduro yupo kwe wakati mgumu sana na hivi assassinations attempts zimeshaanza duh cjui itakuwaje
Kama inakoelekea Burundi
 
Back
Top Bottom