Venezuela Pres. Nicolas Maduro Anusurika Kuuawa

Maduro siku zake zinahesabika ila hii ndo dawa ya madikteta yaani wananchi wako wanakufa njaa halafu wewe unakula Bata tu madaraka kuachia wengine hutaki lazima wakulambe kichwa

Inaonekana it's worse than what we know.
Inasemekana hali imekuwa mbaya kwa kiasi cha kufikia ilipofika Zimbabwe.
Imagine na Mafuta yote yale.
 
Hahah!, jamani Kisa?!
Apate sympathy ya wananchi?
Ukishindwa kutimiza mahitaji ya wananchi, lazima utengeneze adui wa pamoja.

Ndiyo maana viongozi wa Afrika bado wanalaumu Wakoloni walioondoka miaka 50 iliyopita. Granted, some strings are still being pulled from behind the scenes, but if you hear some of these people, you would be excused to think they were totally castrated.

I am not saying this was staged for certain.

But it is either badly staged, or the Venezuelan security is horribly incompetent.

Habari ya Venezuela ukiifuatilia inasikitisha sana.

Chavez na habari zake za usoshalisti kaiharibu vibaya sana hii nchi.

Huyu Maduro hajui hata anataka kufanya nini. Kaishia kulaumu maadui tu.
 
Mnaojuaga kuchambua siasa mtufundishe.

Nini kimefikisha Venezuela ilipo?
Swali zuri mkuu. Hata mimi nahitaji kujua. Lakini ni wazi kwamba poor leadership imechangia sana. Kuanzia marehemu Chavez mpaka huyu kilaza Maduro. Kwa kiwango cha Petrol inayozalishwa na hii nchi, hawastahili hapo walipo.
 
I beg to differ. There is no aspect of poor leadership on their part.

Your tone epitomes support for the West against Cuba and Venezuela and their malicious intentions to rob them of their oil reserves.
 
Venezuela inahujumiwa vikali mno na US,ndo maana uchumi unayumba,marekani hatapumzika hadi ampindue hiyo rais
Wanajihujumu wenyewe mkuu. Hamna lolote. Hii nchi ipo ndani ya top 10 oil producing countries. Hata wangepanga mapipa barabari, bado hawakustahili walipo sasa hivi.
 
Bolivarian Revolution yataka moyo kwani maadui ni wengi kwelikweli.
 
Wanajihujumu wenyewe mkuu. Hamna lolote. Hii nchi ipo ndani ya top 10 oil producing countries. Hata wangepanga mapipa barabari, bado hawakustahili walipo sasa hivi.
Kuna hujuma za kijasusi zinaendelea pale,kama kudevalue money,na hiyo ni professionality ya CIA
 
Colombia’s Foreign Ministry has vehemently denied involvement in the attempt on Maduro’s life. In a strongly-worded statement, it called the claims “absurd” and “lacking all foundation.” However, Colombian President Juan Manuel Santos also told AFP earlier this week that the days of Maduro in charge of the country were numbered.
=====
Moscow imechukizwa na shambulio hili.
 
Ukishindwa kutimiza mahitaji ya wananchi, lazima utengeneze adui wa pamoja.

Ndiyo maana viongozi wa Afrika bado wanalaumu Wakoloni walioondoka miaka 50 iliyopita. Granted, some strings are still being pulled from behind the scenes, but if you hear some of these people, you would be excused to think they were totally castrated.

I am not saying this was staged for certain.

But it is either nadly staged, or tge Venezuelan security is horribly incompetent.

Habari ya Venezuela ukiifuatilia inasikitisha sana.

Chavez na habari zake za usoshalisti kaiharibu vibaya sana hii nchi.

Huyu Maduro hajui hata anataka kufanya nini. Kaishia kulaumu maadui tu.

A misfortune of third world countries. Whoever hoodooed us, or may be we did that to ourselves.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom