Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maduro siku zake zinahesabika ila hii ndo dawa ya madikteta yaani wananchi wako wanakufa njaa halafu wewe unakula Bata tu madaraka kuachia wengine hutaki lazima wakulambe kichwa
Ukishindwa kutimiza mahitaji ya wananchi, lazima utengeneze adui wa pamoja.Hahah!, jamani Kisa?!
Apate sympathy ya wananchi?
Swali zuri mkuu. Hata mimi nahitaji kujua. Lakini ni wazi kwamba poor leadership imechangia sana. Kuanzia marehemu Chavez mpaka huyu kilaza Maduro. Kwa kiwango cha Petrol inayozalishwa na hii nchi, hawastahili hapo walipo.Mnaojuaga kuchambua siasa mtufundishe.
Nini kimefikisha Venezuela ilipo?
Eti na ulinzi wote huo, kadrone kameweza kumkaribia. Haya maajabu ya Mussa.Ebwana huo ulinzi
Hahaha ,maajabu hasa ,kwanza unaruhusu vipi sehemu alipo rahisi drone kukakatisha? Network system zao sijui zikojeEti na ulinzi wote huo, kadrone kameweza kumkaribia. Haya maajabu ya Mussa.
I beg to differ. There is no aspect of poor leadership on their part.Swali zuri mkuu. Hata mimi nahitaji kujua. Lakini ni wazi kwamba poor leadership imechangia sana. Kuanzia marehemu Chavez mpaka huyu kilaza Maduro. Kwa kiwango cha Petrol inayozalishwa na hii nchi, hawastahili hapo walipo.
Hayo madubwasha meusi meusi waliyomkinga nayo ndo manini? Yanazuia risasi kupenya ama?
Wanajihujumu wenyewe mkuu. Hamna lolote. Hii nchi ipo ndani ya top 10 oil producing countries. Hata wangepanga mapipa barabari, bado hawakustahili walipo sasa hivi.Venezuela inahujumiwa vikali mno na US,ndo maana uchumi unayumba,marekani hatapumzika hadi ampindue hiyo rais
Halafu sjui kama umeona ile video? Yaani wanajeshi ndio walikuwa wakwanza kuingia mitini.Hahaha ,maajabu hasa ,kwanza unaruhusu vipi sehemu alipo rahisi drone kukakatisha? Network system zao sijui zikoje
Nimeona ,halafu bodyguards wamechelewa sekunde kadhaa ,ndio wanafanya covered na zipe bullets proof boxHalafu sjui kama umeona ile video? Yaani wanajeshi ndio walikuwa wakwanza kuingia mitini.
Hapana mkuu nakumbushia tuuMkuu ndio una amka?!
Kuna hujuma za kijasusi zinaendelea pale,kama kudevalue money,na hiyo ni professionality ya CIAWanajihujumu wenyewe mkuu. Hamna lolote. Hii nchi ipo ndani ya top 10 oil producing countries. Hata wangepanga mapipa barabari, bado hawakustahili walipo sasa hivi.
Ukishindwa kutimiza mahitaji ya wananchi, lazima utengeneze adui wa pamoja.
Ndiyo maana viongozi wa Afrika bado wanalaumu Wakoloni walioondoka miaka 50 iliyopita. Granted, some strings are still being pulled from behind the scenes, but if you hear some of these people, you would be excused to think they were totally castrated.
I am not saying this was staged for certain.
But it is either nadly staged, or tge Venezuelan security is horribly incompetent.
Habari ya Venezuela ukiifuatilia inasikitisha sana.
Chavez na habari zake za usoshalisti kaiharibu vibaya sana hii nchi.
Huyu Maduro hajui hata anataka kufanya nini. Kaishia kulaumu maadui tu.