mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,834
Leo asbuhi kiongozi wa upizani wa Venezuela Juan Guaidan ameapishwa kua Raisi wampito wa Venezuela bila kuepo kwa uchaguzi wowote, wakati mda wa Nicolas Maduro bado haujaisha, USA Ufaransa Uigereza na nchi 11 za latino America zimemtambua kama kiongozi halali wa Venezuela wakati huo huo Russia China na Uturuki/ Turkey wana mtambua Nicolas Manduro kama kiongozi halali na wako tayari kumlinda kwa gharama zozote, je huo msuguano baina ya hizo nchi bingwa za Dunia nani ataumia?, naona vita kama ya Syria Yemen na Ukuraini inakaribia Venezuela je nani atashinda? Kumbuka Venezuela ndo nchi inayo ongoza katika uchimbaji wamafuta 70% katika eneo la latino America na uchumi wao unategemea Mafuta na Marikani ndo soko lao kuu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app