Vedastus Mathayo Manyinyi, mwambie Edward Lowassa ajipange upya!

MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
884
848
Vedastus Mathayo Manyinyi ndiye aliyetumika kwa upande wa mkoa wa Mara kuendesha kampeni ya kumng'oa J.K kwenye nafasi ya uenyekiti, akiwa ametumwa na Edward Lowassa.

Mathayo alikuwa ameahidiwa kuuziwa eneo la mbuga ya serengeti ili alitumie kwa ufugaji endapo E.L angeshinda mpango huo na baadae kuwa rais. Pia alikuwa amemwahidi unaibu waziri wa biashara kutokana na Mathayo kusomea biashara ktk chuo huria tawi la Musoma.

Taarifa zinasema kuwa baada ya mpango huo kugonga mwamba huk Dodoma, Mathayo amekata tamaa na inadaiwa ana mpango wa kumwandikia J.K barua ya siri kushtaki Dommy Juma kuwa ndiye aliyekuwa anaendesha kampeni ya kumhujumu na wala si yeye. Lengo la barua hiyo ambayo vyanzo vinaeleza kuwa imeshachapwa kwenye stationery moja(jina ninalo) ina lengo la kujikomba kwa J.K ili kujiweka vizuri kisiasa.

Mimi ninamshauri Vedastus Mathayo arudi tena kwa Lowassa wajipange upya.
 
hizi ndiyo nguvu za Lowassa kwa wake wasiojua "nguvu" zake kisiasa. yuko tayari kuuza taifa lote kwa vibaraka ili yeye awe bwana mkubwa.
 
Kama ni ishu ya kutenganisha kofia ya Mwenyekiti na uraisi ndani ya CCM, basi mimi namuunga mkono Lowassa hilo ni jambo jema kwa demokrasia ya TANZANIA.
 
Leta source hapa na kwanini unaficha hiyo stationary,humu ndani huwa tunamwagika tu wala huwa htufichi kitu,mwagika,vinginevyo wewe ndiye unayetumika labda unataka kumchafua Mathayo!!!!
 
Hivi una utajiri wote alio nao Mathayo hana ofisi hata barua zake zichapwe mtaani ? Hana PS wala hana msiri wake wa mambo nyeti ? Hii ina ukweli wa kweli ?
 
Mkuu huyu jamaa ndiyo maana nimesema anatumika kwa sababu we angalia tu namna ambavyo Thread yake imekaa!Mathayo ninayemfhamu mimi mwenye Shell za mafuta musoma mjini,mwanza,Nairobi,na kampala hawezi kukosa ofisi anayo ofisi nzuri sana kwenye ile hoteli yake pale mjini Musoma.

Ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana kiasi kwamba ana hadi Printa nyumbani kwake kwa sababu niliwahi kuingia ndani ya nyumba yake na ni mpiganaji mzuri sana kwenye masuala ya siasa kiasi kamba kwa akili ya harakaharaka ni ngumu kuamini kwamba anaweza kupeleka barua nyeti kama hiyo kwenda kuchapa Kwenye Stationary.ni ngumu ni ngumu sana tu.
 
Hivi una utajiri wote alio nao Mathayo hana ofisi hata barua zake zichapwe mtaani ? Hana PS wala hana msiri wake wa mambo nyeti ? Hii ina ukweli wa kweli ?
Huu ni udaku sawa na aliyeileta alivyo mdaku.
 
Mjenga, hata kama Vedastus Mathayo alisema JK asishike kofia mbili ya Uraisi na Uenyekiti wa CCM, kuna ubaya gani? Si atakuwa ametumia haki yake ya msingi, ndani ya chama kuueleza umma jinsi anavyoona na kutoa mapendekezo yake? Kuna dhambi gani mwanachama kutoa mawazo yake kwa uwazi, tena mbele ya kikako halali?
Kwa nini Mjenga, udhani Vedastusi Mathayo alitumwa na Mheshimiwa EL, hivi yeye Vedastus hana mawazo isipokuwa EL tu ndiyo mwenye mawazo ya kuondoa kofia mbili? Kwa nini unafikia uamzi wa kudhani anayefikiri tofauti na mwenyekiti wa CCM pamoja na Katibu wa CCM mstaafu Yusufu Makamba ni EL tu na sio mtu mwingine yeyote.
Hata kama unampenda sana Mwenyekiti wa CCM usipoteze uwezo wako wa kufikiri. Pia hata kama ni bingwa wa kuzusha mambo, usimzushie Mheshimiwa, Waziri Mkuu Mjiuzulu mambo ambayo mazingira hayasadifu. Ukifanya hivyo kuna hatari kuu mbili:
  1. Unajionyesha udhaifu katika kuchambua maswala
  2. Unampa Umarufu/uwezo mkubwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mjiuzulu EL ambao hastahili. Kwa sasa mtu huyu anatisha kama chatu mfu asiye na madhara kwa binadamu, labda asipozikwa atanuka lakini hata ng'ata. Lakini Mjenga, kwa nini unaendelea kumpiga nyoka mfu? Wewe mwenyewe umesema mkakati wake umeshindwa, sasa kwa nini unamfuatilia?
 
  • Thanks
Reactions: PSM
Vedastus Mathayo Manyinyi ndiye aliyetumika kwa upande wa mkoa wa Mara kuendesha kampeni ya kumng'oa J.K kwenye nafasi ya uenyekiti, akiwa ametumwa na Edward Lowassa.

Mathayo alikuwa ameahidiwa kuuziwa eneo la mbuga ya serengeti ili alitumie kwa ufugaji endapo E.L angeshinda mpango huo na baadae kuwa rais. Pia alikuwa amemwahidi unaibu waziri wa biashara kutokana na Mathayo kusomea biashara ktk chuo huria tawi la Musoma.

Taarifa zinasema kuwa baada ya mpango huo kugonga mwamba huk Dodoma, Mathayo amekata tamaa na inadaiwa ana mpango wa kumwandikia J.K barua ya siri kushtaki Dommy Juma kuwa ndiye aliyekuwa anaendesha kampeni ya kumhujumu na wala si yeye. Lengo la barua hiyo ambayo vyanzo vinaeleza kuwa imeshachapwa kwenye stationery moja(jina ninalo) ina lengo la kujikomba kwa J.K ili kujiweka vizuri kisiasa.

Mimi ninamshauri Vedastus Mathayo arudi tena kwa Lowassa wajipange upya.

Umbeya mwingine tena mchana kweupe,moja ya tatizo la JK ni washauri wake ambao kwa kumjua kuwa ni mswahili na dhaifu,wanafamu kwa ni mtu anayeamini umbeya na kuufanyia kazi;Mambo ya kumwondoa hayakuwepo Dodoma,hizi ni fitna tu zenye lengo la kuendelea kumchafua Lowassa,mtakuja kuloanisha nguo zenu za ndani subirini!

Vedastus Mathayo Manyinyi ndiye aliyetumika kwa upande wa mkoa wa Mara kuendesha kampeni ya kumng'oa J.K kwenye nafasi ya uenyekiti, akiwa ametumwa na Edward Lowassa.

Mathayo alikuwa ameahidiwa kuuziwa eneo la mbuga ya serengeti ili alitumie kwa ufugaji endapo E.L angeshinda mpango huo na baadae kuwa rais. Pia alikuwa amemwahidi unaibu waziri wa biashara kutokana na Mathayo kusomea biashara ktk chuo huria tawi la Musoma.

Taarifa zinasema kuwa baada ya mpango huo kugonga mwamba huk Dodoma, Mathayo amekata tamaa na inadaiwa ana mpango wa kumwandikia J.K barua ya siri kushtaki Dommy Juma kuwa ndiye aliyekuwa anaendesha kampeni ya kumhujumu na wala si yeye. Lengo la barua hiyo ambayo vyanzo vinaeleza kuwa imeshachapwa kwenye stationery moja(jina ninalo) ina lengo la kujikomba kwa J.K ili kujiweka vizuri kisiasa.

Mimi ninamshauri Vedastus Mathayo arudi tena kwa Lowassa wajipange upya.

acha kuandika utumbo.tena utumbo wa nguruwe.una majungu kama jk
 
Wakati mwingine tuwe wakweli,Mathayo auziwe sehemu ya mbuga ya serengeti wakati tayari ana eneo kule au pale anapofugia ng'ombe karibu unafika fort ikoma ni kwa nani?jipange upya mkuu
 
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
uuuuuuuuuuuuuuhuuuuuuuuuuuuuuuuuhuuuuuuuuuuuuuuuuuu:whoo::gossip::gossip:
 
Back
Top Bottom