MJENGA
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 884
- 848
Vedastus Mathayo Manyinyi ndiye aliyetumika kwa upande wa mkoa wa Mara kuendesha kampeni ya kumng'oa J.K kwenye nafasi ya uenyekiti, akiwa ametumwa na Edward Lowassa.
Mathayo alikuwa ameahidiwa kuuziwa eneo la mbuga ya serengeti ili alitumie kwa ufugaji endapo E.L angeshinda mpango huo na baadae kuwa rais. Pia alikuwa amemwahidi unaibu waziri wa biashara kutokana na Mathayo kusomea biashara ktk chuo huria tawi la Musoma.
Taarifa zinasema kuwa baada ya mpango huo kugonga mwamba huk Dodoma, Mathayo amekata tamaa na inadaiwa ana mpango wa kumwandikia J.K barua ya siri kushtaki Dommy Juma kuwa ndiye aliyekuwa anaendesha kampeni ya kumhujumu na wala si yeye. Lengo la barua hiyo ambayo vyanzo vinaeleza kuwa imeshachapwa kwenye stationery moja(jina ninalo) ina lengo la kujikomba kwa J.K ili kujiweka vizuri kisiasa.
Mimi ninamshauri Vedastus Mathayo arudi tena kwa Lowassa wajipange upya.