Vedastus Mathayo Manyinyi, mwambie Edward Lowassa ajipange upya!

Kama ni ishu ya kutenganisha kofia ya Mwenyekiti na uraisi ndani ya CCM, basi mimi namuunga mkono Lowassa hilo ni jambo jema kwa demokrasia ya TANZANIA.
Je kuhusu kumuuzia jamaa mbuga ya serengeti ili awe bwana mkubwa??
 
Ulitakiwa uvishwe shanga kiunoni wewe kwa umbea, ulianza umbea wako kwa Heche, ukagonga mwamba, ukaona haitoshi ukahamia kwa dr Slaa ukachemka, sasa umehamia kwa magamba wenzako, laiti ningejua jinsi yako ningekupa cheo chako
 
Back
Top Bottom