vdume.....

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Ewe unajiita kidume...!!
Unajihisi vipi...hata kama unapotezea....kujua ukweli kwamba mkeo anakuzidi kipato?
Unajisikiaje na utafanjaje...pale ambapo kila mnapogombana anakutamkia kauli za kebehi kisa ana mshiko....?
 
y allah!!!! nijiavyo hata kama amiliki mabenk yote ulimwenguni mwanamke ni mwanamke tu,,,, na haiwezi ule msemo bab ni kichwa cha familly ikawa mama ni kichwa cha familly iwe itakavyokuwa mwanamme ni mwanamme tuu ,,,we umefanyiwa hivyo kwani???
 
Ingawa sijawahi kuzidiwa kipato na mwanamke yoyote yule niliyewahi kutoka naye, lakini kutumia kipato chako kama silaha ya kumbeza mwenzi wako ni makosa.

Hizo hela zinaweza kupukutika wakati wowote ule. Sasa zipukutike wakati bado yuko kwenye ndoa sijui atafanya nini...labda atatafuta basha mwingine ili aweze ku maintain status....
 
Hizo kauli umethibitisha ni za kebehi kisa pesa?

Nawajua wengi tu ambao wana vipato kuliko partners wao na hawana matatizo hayo
 
Sijui tu kuthank ila ni maneno mazuri
y allah!!!! nijiavyo hata kama amiliki mabenk yote ulimwenguni mwanamke ni mwanamke tu,,,, na haiwezi ule msemo bab ni kichwa cha familly ikawa mama ni kichwa cha familly iwe itakavyokuwa mwanamme ni mwanamme tuu ,,,we umefanyiwa hivyo kwani???
 
y allah!!!! nijiavyo hata kama amiliki mabenk yote ulimwenguni mwanamke ni mwanamke tu,,,, na haiwezi ule msemo bab ni kichwa cha familly ikawa mama ni kichwa cha familly iwe itakavyokuwa mwanamme ni mwanamme tuu ,,,we umefanyiwa hivyo kwani???

Safi sana umemaliza kila kitu,ubarikiwe!!
 
We mbona post yako umeiandika kidharau?
Kidume ni kidume ndivyo alivyo sio anajiita.
 
Ukiona hivyo tatizo sio pesa tatizo ni mwanaume hamfikishi mkewe,mpe mkeo haki yake ya ndoa kwa uhakika hata kama ni raisi wa ulimwengu hawezi kukuletea dharau hata siku moja
 
y allah!!!! nijiavyo hata kama amiliki mabenk yote ulimwenguni mwanamke ni mwanamke tu,,,, na haiwezi ule msemo bab ni kichwa cha familly ikawa mama ni kichwa cha familly iwe itakavyokuwa mwanamme ni mwanamme tuu ,,,we umefanyiwa hivyo kwani???

Duh mama nimeipenda hii nawe pia.
Kila la heri
 
ukiona hivyo tatizo sio pesa tatizo ni mwanaume hamfikishi mkewe,mpe mkeo haki yake ya ndoa kwa uhakika hata kama ni raisi wa ulimwengu hawezi kukuletea dharau hata siku moja

umenena mwana huu ni ukweli kabisa sio mke tuu hata geli frend ukimfikisha kileleni, heshima debe hata kama ni md somwhere
 
tusker.jpg
moz-screenshot.png
baada ya kuwaza na kuwazua... na kusoma tabu kibao wanazopata masela kutoka kwa 'ze nidful'...nawashauri Msimu iwe kazi moja tu.....kudumisha urith wetu!!!!:faint::faint::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom