Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu

hizi nywele za kurudi nyuma sijaziona siku nyingi,nataman angegeuka nimuone usoni ametokaje..
 
attachment.php
 
hicho kijambakoti cha nini?
Hana watoto wa kumshauri avaeje?

...Naam watoto huwa hawakopeshi bana...Mama/baba hujatoka ndani humu na hicho kigauni/kijambakoti chako....mtoto wa rafiki yangu alimwambia mama yake hivi karibuni leo ukija kunichukua shuleni usishuke kwenye gari :):)...mama akabaki kapigwa na mshangao...kumuuliza mtoto kisa akamwambia hiyo nguo yako ya leo noma mie siipendi kabisa kama utavaa nyingine basi hakutakuwa na tatizo LOL!

 
BAK, watoto ni kiboko.

Hata ukisuka nywele za ajabu anakukosoa kama nini
sembuse nguo?
Au wako boarding labda.

Watoto huwa makini wakati mwingine kuliko hata mwenza lol
 
Last edited by a moderator:
Jaman hamtak nasisi tuone? kila cku waone wakubwa wanaowapa ulaji nasi tunatakiwa tufaid wakija kututembelea mtaan....all and all kaumbika nyc butt
 
Huyu ni waziri wa habari na michezo alafu ni Dr.

Waziri wa Michezo utamaduni na habari? vazi alilovaa ni la michezoni. Mchezoni huwezi vaa baibui atiii! Hivi pindo la chupi nalo ni sehemu ya mahanjumati? Mzee wa mashairi Rutashubanyuma nisaidie kwa hili kwa kutuletea utenzi "JE WAYAJUA MAHANJUMATI YA PINDO LA CHUPI NA M-BINTI MWENYE TUKUNYEMA".

Bazazi ni BAZAZI!
 
msimlaumu sana jamani,uwaziri mtamu mwe,hiyo nguo itakuwa ilikuwa inamtosha,sema kaongezeka kidogo,hips ikajichora mwaaa!afande macho kodo,udenda mwaaaa!
 
huyu dada ni mwafrika zaidi ndo mana anasuka nywele hizo,anapendeza!jaribu wewe kusuka hivyo uone!
 


Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.


Huyo aliyevaa chui chui anajua anachoangalia na anaonekana kukifurahia
 
Back
Top Bottom