Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu



Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.


Mkuu peleka jukwaa la siasa, hii ni kashfa kwa CCM. kwa hiyo ni ya kisiasa.
Naona makamanda wawili hawamuelewi. macho yao yako mbaali kabisa
 
angekuwa karibu mi ningelishika hilo burungutu manake na ningesingizia kuwa ameamsha hisia zangu...sisi wengine tukiona chupi tu tayari mtarimbo umesismama, hata kama tukipita mtaani mwanamke amianika, tayari!
 
hicho kijambakoti cha nini?
Hana watoto wa kumshauri avaeje?
Duh..! Ila tuache utani jamani, mdada kapendeza... Natamani ani-PM, sijui huwa anaingiaga hapa jamvini...!? Kuku wa kienyeji huyo bwana, NO COMPLICATION...! Hebu cheki smiling yake, aaah..!
attachment.php
sijui nitampataje jamani... Mwenye namba yake naomba anirushie pleeease..!!
 
hicho kijambakoti cha nini?
Hana watoto wa kumshauri avaeje?

Amemuiga yule mtangazaji wa kiume wa ITV, nae hupenda kuvaa hiki kijasti bikozi. Lakini kuonekana kwa hiyo michirizi ya nguo ya ndani nadhani kumetokana yeye kuwa na vibastola. Angekuwa kimbaumbau msingeona hiyo kitu. Kwa kuwa yeye ni waziri wa habari sio mbaya akivaa hivyo, mie nimeipenda
 


Yaani
waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele
ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo?
Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu
waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura
hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana
na rais.

Ila iko vuto bana wewe! Ona ile kalio nasimama mzuri!
 
Kisketi kimebana, lakini vazi lake bado ni bora kuliko vile vishati vya mawaziri vinavyoonyesha manyoya ya kifua.
 
CHADEMA heshima yenu ndogo sana.
Mbona Halima Mdee anavaa kiajabu ajabu mpaka anawasaga wenzake anawapeleka mpaka Saloon,
Mbona hamuweki picha zake hapa?
 


Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.

Ila 'bastola' anazo aiseeeeee!
 
...na wale wanume wanaovaa suruali zinazongang'ania pxxx zao, picha ziwe zinaletwa hapa... Hivi matatizo ya Watanzania ni mavazi ya viongozi au matendo yao?
 
Hivi huwa hakuna 'semina elekezi' ya mavazi kwa mawaziri?
 
CHADEMA heshima yenu ndogo sana.
Mbona Halima Mdee anavaa kiajabu ajabu mpaka anawasaga wenzake anawapeleka mpaka Saloon,
Mbona hamuweki picha zake hapa?
Huyu hapa, lete comments zako..
mdee1.jpg
CHEKI GWANDA MKUU..! tuko pamoja...? And if you won't give a "like" to this, then you must be crazy...
 
Back
Top Bottom