Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,809
- 10,799
Ukiiangali rangi ya kijani ni rangi inayopendeza sana, inaonyesha uoto wa asili pamoja na mimea ya kupandwa, Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa ya kijani.
Wandugu mnaonaje color code ya vazi la taifa iwe ya kijani na utambulisho wa Mtanzania hata anapokuwa ughaibuni awe ndani ya clothes za kijani.
Wanafunzi wa vyuo, shule za msingi na sekondari, wabunge, viongozi pamoja na raia wote Tz tupige mavazi ya rangi kijani. Inapendeza sana.