Vazi la taifa kuwa na rangi ya kijani.

Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
7,806
10,774
Ukiiangali rangi ya kijani ni rangi inayopendeza sana, inaonyesha uoto wa asili pamoja na mimea ya kupandwa, Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa ya kijani.
Wandugu mnaonaje color code ya vazi la taifa iwe ya kijani na utambulisho wa Mtanzania hata anapokuwa ughaibuni awe ndani ya clothes za kijani.
Wanafunzi wa vyuo, shule za msingi na sekondari, wabunge, viongozi pamoja na raia wote Tz tupige mavazi ya rangi kijani. Inapendeza sana.
IMG.jpg
 
Umetumwa au umekuja mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu muda uliokaa kuharisha mashudu hapa kwanini usingefagia hata hapo ulipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui mleta hoja utajisikiaje iwapo hoja yako itaridhiwa na waliopewa dhamana na hatimaye ikawa chanzo cha yale yaliyotokea Rwanda 1994 kutokana na watu kuchoshwa na dharau za kundi fulani.
 
Ukiiangali rangi ya kijani ni rangi inayopendeza sana, inaonyesha uoto wa asili pamoja na mimea ya kupandwa, Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa ya kijani.
Wandugu mnaonaje color code ya vazi la taifa iwe ya kijani na utambulisho wa Mtanzania hata anapokuwa ughaibuni awe ndani ya clothes za kijani.
Wanafunzi wa vyuo, shule za msingi na sekondari, wabunge, viongozi pamoja na raia wote Tz tupige mavazi ya rangi kijani. Inapendeza sana.
Sasa hilo litakuwa vazi la taifa au rangi ya taifa? Inawezekana mimi ndiye sielewi!...
Kwa hali hii nchi hii sidhani kama tutafikia huko kwenye uchumi wa viwanda...
 
Ukiiangali rangi ya kijani ni rangi inayopendeza sana, inaonyesha uoto wa asili pamoja na mimea ya kupandwa, Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa ya kijani.
Wandugu mnaonaje color code ya vazi la taifa iwe ya kijani na utambulisho wa Mtanzania hata anapokuwa ughaibuni awe ndani ya clothes za kijani.
Wanafunzi wa vyuo, shule za msingi na sekondari, wabunge, viongozi pamoja na raia wote Tz tupige mavazi ya rangi kijani. Inapendeza sana.
Nigeria tayari kijani imetawala kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sehemu ndogo sana ya dunia uliyoitaja.
Mke Mmetumia akili ndogo sana kuliwazia hilo jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unateseka sana ukinijibu kwa hoja za mantiki bila matusi Chifu?

Haya ww hisia zimekutuma kuwa hiyo rangi ya kijani ni rangi ya CCM, je vipi mwingine akija kusema inashabihiana na rangi ya Yanga FC?

Fikirisha akili zako kiupana wala siyo akili ikuongoze ww Chifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom