Vazi la manesi

Jun 24, 2017
31
9
Habari ndugu wa JF, najiuliza vijiswali vingi sana kuhusina na vazi la manesi wetu ambalo ni sare ya kazi.

Hivi ni kwanini mara nyingi huwa ni fupi sana kiasi kwamba akiinama, huko nyuma tunaficha macho wengine tunameza mate hususani hawa manesi wa kike.

Hivi wanavaa vazi fupi kwanini?

Mwenye majibu sahihi naomba anijibu.
Asanteni.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom