Vazi la Khanga kwa wadada wa Kitanzania linavutia

Khanga hazitoshi navaa vitenge ila vazi langu haswa nikiwa home ni madera
Najiona nakua comfortable sana hata nikiwa nazurura
Dera kutoka nalo labda duka la jirani dakika 2 sio eti kariakoo hapana
 
Kwa nini haifungi vizuri
unavaaga nn home? ila mie napenda mtandio zaidi..kuna mitandio ya mtumba mizuri mikubwa..mie khanga hazifung vzr hapa front..ila navaa hvyhvy..vitenge mie spend kbs...vikubwa mnoo
 
Mamii hongera inaonekana una umbo la kibantu hasa kiasi kwamba haupo huru kutembea na Dera, manake watu wata gongana njiani
Haaa haaa kawaida tuseme sijazoea hivyo , nasiwezi kabisa lazima nitakuwa najishitukia kama vile kila mtu ananitizama
 
Back
Top Bottom