Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,120
- 27,932
Dera kutoka nalo labda duka la jirani dakika 2 sio eti kariakoo hapanaKhanga hazitoshi navaa vitenge ila vazi langu haswa nikiwa home ni madera
Najiona nakua comfortable sana hata nikiwa nazurura