Vazi la Khanga kwa wadada wa Kitanzania linavutia

😂😂😂 siwez kbs..mie hata nile nini..nanenepa ndyo ila nanenepa sehem maalumu...hunikut nna kono kulee..sijui shingo imetitia😂😂...!...hahhaa...mie unene unakimbilia chini zaidi..ila na nyonyo huwa inakuwanzitooo😂😂😂🙌🙌🙌😏😏😏
Thats nice, hongera kwa Mungu hii
 
Wakati wa kuangalia tamthiliya unaweza kulipiga vile vile na linakutoa.

1565087997589.png
 
Unaweza kupumzika sebureni ukichat chat wakati unamsubiria mzee aje nyumbani....!!! "kweli maisha ni safari ndefu"


1565089348526.png
 
Mzee akichelewa sana na uhajic umechoka basi unakwenda kumsubiria chumbani....!! eti night dress mmhh na joto hili la dar aaahh, ki2 khanga ....

1565089851764.png
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom