OkaySawa
Hebu mvalisheni na mzungu mmoja tuone kama linavutia na kwao piaVazi la Khanga ama kitenge kwa wadada wa Kitanzania li zuri linavutia - Linaonyesha uzuri alionao msichana wa kitanzania - tulipitishe liwe la kitaifa kwa wadada wetu!!
View attachment 1130502
View attachment 1130504
View attachment 1130505
View attachment 1130507
Mabahari tusikiuke maazimio ya kikao.View attachment 1130546
Katika kutekeleza sera mpya ya kutupunguzia mzigo na kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima, hilo suala litatekelezwa mara mojaHahahaaa,,, naamini kikao kijacho suala la mawigi kuwa mzigo kwa wanaume litaongelewa pia maana litatuumiza sana
Khanga sawa ila kitenge hapana ni kujizeesha sipendi Mdada kuvaa kitenge kwanza vinatabia ya kuficha uchafuVazi la Khanga ama kitenge kwa wadada wa Kitanzania li zuri linavutia - Linaonyesha uzuri alionao msichana wa kitanzania - tulipitishe liwe la kitaifa kwa wadada wetu!!
View attachment 1130502
View attachment 1130504
View attachment 1130505
View attachment 1130507
Duh! Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa khanga ilikua lini
kwanini hazifungi vyema?unavaaga nn home? ila mie napenda mtandio zaidi..kuna mitandio ya mtumba mizuri mikubwa..mie khanga hazifung vzr hapa front..ila navaa hvyhvy..vitenge mie spend kbs...vikubwa mnoo