Vatican: Maoni ya Papa kuhusu wapenzi wa jinsia moja yamechakachuliwa kwa kuunganisha vimaneno

Mdogo mdogo naona waumini wameanza kulegeza misimamo yao,

mdogo mdogo wameanza kuwapokea mashoga katika jamii zao, wameanza kuwaita pia kuwa ni wana wa Mungu kama wao na wanahitaji upendo basi heshimuni na wale wanaowapenda yaani watu wa jinsia yao au vipi?
 
Nukuu zangu:-

"(Homosexuals have a right to be a part of the family. They’re children of God and have a right to a family. Nobody should be thrown out, or be made miserable because of it.”

While the pope did say those words on camera, he did not say them in that order, or use those phrases in immediate proximity)"

"(I said, homosexual people have a right to be in the family, people with homosexual orientation have a right to be in the family and parents have the right to recognize that son as homosexual, that daughter as homosexual. Nobody should be thrown out of the family, or be made miserable because of it.”)".

----
Maoni ya Baba Mtakatifu yameungwaungwa na kuchakachuliwa...na kutengeneza sentensi ambazo Papa hakuwahi kuzitamka kwa muunganiko kuleta maana kuwa anaungamkono ushoga na ndoa za mashoga....endelea:

1. Maoni ya Papa kuhusu wapenzi ya jinsia moja yamechakachuliwa na kubadili maana...na tena wameunganishaunganisha vipande ikiwamo na vile vya mahojiano ya mwaka 2019 na kutengeneza ujumbe wa mwaka 2020 kwamba anabariku ushoga kitu ambacho ni wa uongo na Vatican haikubaliani nao.

2. Pamoja na ukweli kwamba Papa amewaombea huruma wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kuwaita ni "watoto wa Mungu kama walivyo wasiojihusisha", ametaka wasitengwe au kutupwa nje ya familia ya Mungu na Vatican inakubaliana na msimamo huo.

3. Jisomee mwenyewe kutoka SHIRILA LA HABARI LA KANISA KATOLIKI LA ROMA:

Chanzo: Pope Francis' homosexuality comments heavily edited in documentary, Vatican has no comment on civil unions
Duuh kwhy wanataka wazee wa kupakua bandari waongezeke tuu😟😟
 
Back
Top Bottom