Vatican: Maoni ya Papa kuhusu wapenzi wa jinsia moja yamechakachuliwa kwa kuunganisha vimaneno

Jaman eeh hii ni haki yao kama wanaona inafaa, hakuna shida ya kuwaingilia

Mbona hampigi kelele jinsi waarabu wanavyowatreat wanawake?

Mbona hampigi kelele zile inchi ambazo mwanamke hatakiwi hata kuonesha vidole vyake, wala kuendesha Gari, wala kwenda uwanjan?

Kama Kuna inchi imeamua hayo ni maisha yao na maamuzi yao

Ww mtu uko tandahimba huko unakuja kuleta kelele nyingiiiiiiiiiiiiiiii utadhan ww mwenyewe Unaweza kujiamulia maisha yako
Siku mwanao, wa kiume akiwaaa shoga uje utoe tena comment ya ovyooo kama hii
 
Siku mwanao, wa kiume akiwaaa shoga uje utoe tena comment ya ovyooo kama hii

Hiko ni kilema tu, kama ambavyo mtoto anazaliwa na utindio wa ubongo

Kama ww ushoga sio ishu kwako then ignore kauli ya papa endelea na maisha yako

Unajipa presha kwa mambo hata haya kuhusu wala hayakuzunguki
 
Kuzaliwa na mtindio wa ubongo, hiyo Ni kazi ya Mungu, ila kuwa Shoga hiyo sio kazi ya Mungu, Acha kutetea ujinga, narudiaa, tena siku mwanao wa kiume akiwaaa bwabwa ndio utaelewa kuwa papa ameanzaaa kuchanganyikiwa
 
Nukuu zangu:-

"(Homosexuals have a right to be a part of the family. They’re children of God and have a right to a family. Nobody should be thrown out, or be made miserable because of it.”

While the pope did say those words on camera, he did not say them in that order, or use those phrases in immediate proximity)"

"(I said, homosexual people have a right to be in the family, people with homosexual orientation have a right to be in the family and parents have the right to recognize that son as homosexual, that daughter as homosexual. Nobody should be thrown out of the family, or be made miserable because of it.”)".

----
Maoni ya Baba Mtakatifu yameungwaungwa na kuchakachuliwa...na kutengeneza sentensi ambazo Papa hakuwahi kuzitamka kwa muunganiko kuleta maana kuwa anaungamkono ushoga na ndoa za mashoga....endelea:

1. Maoni ya Papa kuhusu wapenzi ya jinsia moja yamechakachuliwa na kubadili maana...na tena wameunganishaunganisha vipande ikiwamo na vile vya mahojiano ya mwaka 2019 na kutengeneza ujumbe wa mwaka 2020 kwamba anabariku ushoga kitu ambacho ni wa uongo na Vatican haikubaliani nao.

2. Pamoja na ukweli kwamba Papa amewaombea huruma wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kuwaita ni "watoto wa Mungu kama walivyo wasiojihusisha", ametaka wasitengwe au kutupwa nje ya familia ya Mungu na Vatican inakubaliana na msimamo huo.

3. Jisomee mwenyewe kutoka SHIRILA LA HABARI LA KANISA KATOLIKI LA ROMA:

Chanzo: Pope Francis' homosexuality comments heavily edited in documentary, Vatican has no comment on civil unions
Unajaribu kutetea sana lakini utajichosha tu.kazumngumzia kuhusu familia za watoto ma gay kuwa wasiwatenge pia kuhusu wapenzi wa jinsia moja,na akatumia neno 'civil union' kama Alternative ya marriage.Civil union ni mpango mbadala wa kisheria unaowapa haki watu(hasa same sex couples) za ndoa.

"Pope Francis' clear and public support for same-sex civil unions marks a new stage in the church's relationship with LGBTQ people," said Father James Martin, a Jesuit priest and author of "Building a Bridge," a book about Catholic ministry to homosexuals.

Father james martin,alichaguliwa mwaka 2017 na pope Francis,as Consultant to the Vatican's Secretariat for Communications.
Sasa tukuamini wewe wa Buza au aliyopewa kazi.
 
Kwani mlitaka papa aseme mashoga wauwawe hadharani? Au wapigwe mawe kama kwenye dini ya kina mudi?

Kama biblia imekataza uzinzi, lakini wazinzi tuko nao na hatuwauwi wala kuwanyanyasa, kwanini iwe tofauti kwenye ushoga?

Mpaka sasa sijaelewa huu mvutano umetoka wapi?

Alichosema wala hakihitaji ufafanuzi wowote.

Alichosema ni jambo sahihi na dhahiri shahiri. Ni jambo sahihi Kibiblia na kiutu.

Kwanza uwepo wa mashoga haukusababishwa na papa.

Pambaneni na hali zenu za ushoga msitake kutupia lawama zenu kwa watu wasiohusika na ushoga wenu.
 
Kiti cha ENZI cha ibilisi aitwaye shetani kiko pale Vatican.
Sio kwamba weye ndiye ibilisi unayetaka watu wauwawe hadharani na waumizwe kwa sababu tu eti wanalala na watu wa jinsia yao?

Hiyo dini yako ni ipi inayokwambia ni ruksa kuchochea mauaji na chuki?
 
Kiumbe ambacho sitokaa nikiamini au kumuelewa hapa duniani, ukiachilia mbali mwanamke ni huyu aitwae papa wa vatican
 
Jamani tusiwaamlie wenye dini yao nini wafanye na nini wasifanye tukiona imetushinda tuwarudishie dini yao na sisi tuendelee na za kwetu za zamani. Baaasi kwisha hiyo.

MAGUFULI4LIFE.
 
Nyakazi za mwisho wa dunia ndg zangu tuamke tunaelekea kwenye nyakati zile za sodoma na gomora tumtafute MUNGU kwa bidii tusome biblia na kuielewa na tutafute ushindi wa dhambi, hapo tutamshinda shetani
 
Kwa hiyo upo tayari uruhusu wewe uolew.. au mdogo wak (wa kiume)..aolew endapo adhabu ya kuwawa ikifutwa na huyu unaiyemwita ibilisi, OK kipi bora kati ya kuitwa ibili na wewe kuolew... na mwanaume mwenzio!? Hivi ikitokea hivyo ,kati wewe uliolewa na aliyekuoa ni nani ibilisi !? Kisha ,niambie aliye wapa hukumu ya kifo ili kuokoa kizazi hiki na kijacho kisiathirike na mitabie yenu mibaya na wewe (mke mwanaume.) na anayekunanihii(Mme) ni yupi ibilisi!? na mwisho, ufikiliavyo wewe siku ya hukumu mbele ya muumba (MUNGU) ni nani kati yenu atakaye weza kuzungumza na Mola kwa kujiamini kbsssaa!?
Sio kwamba weye ndiye ibilisi unayetaka watu wauwawe hadharani na waumizwe kwa sababu tu eti wanalala na watu wa jinsia yao?

Hiyo dini yako ni ipi inayokwambia ni ruksa kuchochea mauaji na chuki?
 
Kwa hiyo upo tayari uruhusu wewe uolew.. au mdogo wak (wa kiume)..aolew endapo adhabu ya kuwawa ikifutwa na huyu unaiyemwita ibilisi, OK kipi bora kati ya kuitwa ibili na wewe kuolew... na mwanaume mwenzio!? Hivi ikitokea hivyo ,kati wewe uliolewa na aliyekuoa ni nani ibilisi !? Kisha ,niambie aliye wapa hukumu ya kifo ili kuokoa kizazi hiki na kijacho kisiathirike na mitabie yenu mibaya na wewe (mke mwanaume.) na anayekunanihii(Mme) ni yupi ibilisi!? na mwisho, ufikiliavyo wewe siku ya hukumu mbele ya muumba (MUNGU) ni nani kati yenu atakaye weza kuzungumza na Mola kwa kujiamini kbsssaa!?
Mbona unaandika kwa fujo?
 
Mapadri kibao vatican wanapigwa miti, ni zaidi ya 80% ya mapadri na makadinari pale ni mashoga wanasukumiwa nyama na papa anajua kwa hiyo hilo sio jambo geni kwa papa. Ndio maana ameona bora akubaliane nao tu.

Inabidi mheshimu maamuzi ya viongozi wa kanisa na muweradhi kutatuliwa marinda kiustadi pindi muda wako unapofika
 
Back
Top Bottom