Vatican: Maoni ya Papa kuhusu wapenzi wa jinsia moja yamechakachuliwa kwa kuunganisha vimaneno

... thanks kwa ufafanuzi Mkuu. Ingekuwa vizuri zaidi kama angeanza kulaani ushoga na wanaoupigia chapuo; angetamka kwa maneno makali kabisa kwamba ushoga ni dhambi (maana ndio jukumu lake la msingi aliloitiwa); kwamba wanadamu waache njia zao mbaya (dhambi), wamfuate Yesu Kristo aliyewanunua kwa gharama kubwa. Badala ya kutekeleza jukumu lake hili, akaamua kuyapa kipaumbele yasiyo muhimu katika majukumu yake ya msingi - kuomba familia zisiwatenge mashoga!
Mkuu mimi na wewe tunachukia ushoga kwa sababu we are real men na kile kitendo ni kiovu sana.Ila linapokuja suala la kanisa as institution priority sio ku spread hate kwa binadamu,wanaonyesh kwamba love must lead ili watu wasichukiane.Ila msimamo wa kanisa utabaki pale pale kwenye vitu viwili vikuu..1.Ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke tu 2.Utoaji mimba ni mauaji na ni dhambi..
 
... kunapotokea mkanganyiko katika jambo lolote ni lazima kuwe na reference mama ya kuturejesha kwenye mstari! Majukumu ya Papa na Kanisa kwa ujumla ni matokeo ya "Endendeni mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe ...". Sasa kama kuna kuhitilafiana kwa aina yoyote, Kanisa lirudi kwenye misingi au "Katiba" mama; inaelekezaje?
Acha kuporoja, mshajidhihirisha zaidi kuwa dini yenu mnafirana sana, dini ya mtu binafasi but mnaforce mambo tu
 
Msitake kugeuza, mambo yamejidhihirisha wazi
Mkuu mimi na wewe tunachukia ushoga kwa sababu we are real men na kile kitendo ni kiovu sana.Ila linapokuja suala la kanisa as institution priority sio ku spread hate kwa binadamu,wanaonyesh kwamba love must lead ili watu wasichukiane.Ila msimamo wa kanisa utabaki pale pale kwenye vitu viwili vikuu..1.Ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke tu 2.Utoaji mimba ni mauaji na ni dhambi..
 
Unafiki ambao nasemea hapa ni kujifanya mnajua Sana kuona makosa ya wenzenu

Kama wao wameamua ndoa ya jinsia moja ww unapata shida gani?
eti napata shida gani,we shida huioni? yule ni kiongozi wa kidini siyo msanii wa Hollywood kila atakalosema Lina athari kwa jamii anayoitumikia dunia nzima..so shida lazima iwepo
 
Mkuu unampinga papa wako leo, kwahio unamkana leo
Hakuna anayegeuza mambo,wewe una akili timamu na una uwezo wa kuelewa sentensi,haya nionyeshe ni wapi Papa amesema ndoa za ushoga ni ruhusa??..
"Watu wanaoshirika mapenzi ya jinsi amoja wana haki ya kuwa na familia,"

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amesema kwamba anafikiria wapenzi wa jinsia wanastahili kuruhusiwa "kuoana".

"Ni watoto wa Mungu nawana haki ya kuwa na familia. Hakuna mtu anayestahili kutengwa ama kufanywa ajihisi mnyonge kwa kuamua kuwa katika uhusiano wa aina hiyo.

"Tunachopaswa kuunda ni sheria ya umoja wa kiraia. ili kuwalinda kisheria."

Wachambuzi wanasema kauli yake hiyo imeashiria wazi msimamo wake kuhusu uhusiano wa kimapenzi wa watu wa jinsia moja, katika makala yaliyoelekezwa na Evgeny Afineevsky.

Filamu ya Francesco, inayoangazia amaisha na kazi ya Papa Francis, ilioneshwa kama sehemu ya Tamasha la Filamu la Roma.

Je unazungumziaje hilo?

.
.
.
#papa #papamtakatifu #kanisa #kanisakatoliki #ndoa #papafrancisco #papafrancesco #katoliki
 
eti napata shida gani,we shida huioni? yule ni kiongozi wa kidini siyo msanii wa Hollywood kila atakalosema Lina athari kwa jamii anayoitumikia dunia nzima..so shida lazima iwepo
Mkuu ukimuona mtu anatetea ujue na yeye analiwa
 
eti napata shida gani,we shida huioni? yule ni kiongozi wa kidini siyo msanii wa Hollywood kila atakalosema Lina athari kwa jamii anayoitumikia dunia nzima..so shida lazima iwepo

Huo Sasa ndio unafiki wako, mambo yote anayosema ww unayafata?

Jamii ambayo inapenda ndoa ya jinsia moja basi watakuwa wamenufaika na jamii kama yako ambayo haiamini kwenye ndoa ya jinsia moja then nenda shambani ukalime
 
Mkuu unampinga papa wako leo, kwahio unamkana leo "Watu wanaoshirika mapenzi ya jinsi amoja wana haki ya kuwa na familia,"

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amesema kwamba anafikiria wapenzi wa jinsia wanastahili kuruhusiwa "kuoana".

"Ni watoto wa Mungu nawana haki ya kuwa na familia. Hakuna mtu anayestahili kutengwa ama kufanywa ajihisi mnyonge kwa kuamua kuwa katika uhusiano wa aina hiyo.

"Tunachopaswa kuunda ni sheria ya umoja wa kiraia. ili kuwalinda kisheria."

Wachambuzi wanasema kauli yake hiyo imeashiria wazi msimamo wake kuhusu uhusiano wa kimapenzi wa watu wa jinsia moja, katika makala yaliyoelekezwa na Evgeny Afineevsky.

Filamu ya Francesco, inayoangazia amaisha na kazi ya Papa Francis, ilioneshwa kama sehemu ya Tamasha la Filamu la Roma.

Je unazungumziaje hilo?

.
.
.
#papa #papamtakatifu #kanisa #kanisakatoliki #ndoa #papafrancisco #papafrancesco #katoliki
:D :D :D ,kwamba aliongea kwa kiswahili chako cha tandale icho sio??..Una coppy language spinning za watu huko una paste hapa eti unasema ndio amesema..Nenda tizama video yake uje usema kama inafanana na ulichopost hapa...
 
Hii nukuu ya BBC Swahili imeandikwa na kilaza wa mwisho. Yani hajui kutafsiri English iliyokwishatafsiriwa, achana na lugha aliyotumia Papa. Hakuna sehemu Papa kasema wanatakiwa "kuoana". Nenda hata BBC English uone wameandikaje
 
:D :D :D ,kwamba aliongea kwa kiswahili chako cha tandale icho sio??..Una coppy language spinning za watu huko una paste hapa eti unasema ndio amesema..Nenda tizama video yake uje usema kama inafanana na ulichopost hapa...
Taari mshaambiwa muowane rasmi maana lilikua linasubiriwa tamko tu, najua inakuuma unatamani papa asingetamka ila hakuna namna maana ndio dini ya mtu binafasi aka Poulo, mwanazo mlikua mkibaka watoto but now ndio uchafu unazidi kujitokeza hahahaha
 
Huo Sasa ndio unafiki wako, mambo yote anayosema ww unayafata?

Jamii ambayo inapenda ndoa ya jinsia moja basi watakuwa wamenufaika na jamii kama yako ambayo haiamini kwenye ndoa ya jinsia moja then nenda shambani ukalime
ngoja tuzungumzie jamii na siyo mtu binafsi..wengine ni fata fata tu sasa kwa tamko hilo la kiongozi tayar lishaleta ukakasi na na hapo ndipo shida inapokuja.... ila utaelewa kama tu fikira zako zitakuwa katika mstari mzuri wa kuona uhalisia kuliko mahaba ama kuponda
 
Taari mshaambiwa muowane rasmi maana lilikua linasubiriwa tamko tu, najua inakuuma unatamani papa asingetamka ila hakuna namna maana ndio dini ya mtu binafasi aka Poulo, mwanazo mlikua mkibaka watoto but now ndio uchafu unazidi kujitokeza hahahaha
Kumbe tatizo lako una vumbi la udini kichwani,unafikiri kila mtu and upumbavu wa udini kama wewe,,ngoja nikuache amini unachokiamini...
 
Na huyu mkulungwa ndo tuseme amepata mtetezi?
 
C
Lakini mkuu,tukiweka emotions pembeni,Hayo matamshi ya papa mbona yanaeleweka kabisaa Kwamba alikuwa akizungumzia homosexuals wasitengwe kwenye familia zao wapewe upendo tuu kama watoto wengine..Yaani nashindwa elewa hii spinning inatoka wapi.CNN nao wameingia mule mule kusema eti papa kabariki civil unions.Ukiskiliza matamshi yake hakuna sehem alipotamka kuhusu civil union kwa mashoga.Mimi sio mkatoliki lakini huwa napenda mtu anukuliwe vile alivyosema.Yanakuwa kama yale yale ya Trump na CNN,anaongea hiki CNN wanaandika kile...
CNN ni chombo cha habari kinachosapoti ushoga na kimeajili wafanyakazi ambao ni mashoga kusipin habari ni sifa yao kubwa walifanya hivyo kwenye vita vya ghuba na pia wakati wa uchaguzi wa Donald Trump ndio maana kituo cha aljazeera kilipata sifa baada ya kuweka mambo hadharani tofauti na wao walivyokuwa wanalisha watu uongo
 
Ni kwel KBS akili yang km kisoda na familia yang inajilaumu kuwa na MTU km mm,ila wanashukuru sana sana ,mbali na kuwa na MTU km Mimi ila ujuhaa wangu haujafikia kiwango ulicho nacho we we,unayekubali mam.. Kuolea na MTT wake wakumzaa na Dada kuolewa na we...halafu wewe kuolewa na jamaa km..mimooo.Unakili sana,Jitahidi kujifanya unaimani Sana'a na kuyapokea kila wayasemayo hao wanaoitwa watakatifu sasahivi tutasikia send ya kwak..(kijana mwenye akili gunia)
Kama wewe ni kipaji pia mkuu hongera kwako!! Huku nikiipa pole familia yako kwa kuwa na mtu Kama wewe kwenye familia !!
Akili kisoda
 
Mantiki ni ile ile..hata wakijarib ku rephrase...ni washenz tu vatican..wametuchafua sana wakatolik ...sura zetu tunaziweka wap..

Kale kazee katasababisha mpasuko mkubwa snaa ...sana sana ukatolik wa africa huku...
 
Back
Top Bottom