VAT tourism yaibukia Zanzibar

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
VAT katika tourism Tanzania Bara inaathiri utalii Zanzibar

Wazanzibar walalamika

Habari imeandikwa Zaidi na IPPMEDIA- Nipashe

Zanzibar wasema wataahirika na TTB kucancel maonyesho ya utalii Makubwa zaidi duniani..

TTB hawajatoa Sababu

Zanzibar wanataka kujitoa mfumo wa TTB

Tanzania ipunguze tozo sekta ya utalii
 
Watalii watapungua Zanzibar pia...

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wataongea muda sio mrefu
 
Uchumi unatakiwa akili na kujua maeneo yapi ni sensitive...

Nchi haina export za kutosha......tuna import more than export...Zao la kahawa lilikuwa ndo export muhimu sana. Ilitakiwa serikali ifufue zao la kahawa na kutengeneza mazao mengine ya export kwanza.

Export products inaleta foreign currency......but Tanzania we have few and scarce export na hence hatuna forex za kutosha.

Ajabu sana...mfano umeshalipia shati,,,,,siku unaenda kuchukua.....unaambia shati imeongezewa VAT.....unapata wapi pesa za kuongezea kwa mfano? Budget conscious person wanajua hili....katika kipato chako....unapanga budget.....

Mzungu alishapanga budget ya Vacation trip Tangu 2014 au 2015 kutembelea Tanzania....Tourists save money to travel to certain destination and plan budget ahead. Kutalii sio anasa, ni utamaduni kwa wazungu...

Abruptly you come up with Additional VAT, without considering pre booked trips? You don't have any idea on Tourism Business?

Tourism runs Tanzania economy through Agriculture market and employment

TRA were not even prepared on Tourism on VAT.....

Miamala ya Pesa there is confusion between BOT and TRA...

Tourism infrastructure in Tanzania is poor compared to Dubai, Morocco, Mauritius, Egypt and yet you want rich tourists

After all rich tourists pays same park entry fee as middle class tourists...

Sote ni Watanzania, tunapenda kulipa kodi ili kuijenga nchi yetu...Mama Tanzania.....
 
Mimi hakuna kitu kinachonikera kama kuona mtalii analipishwa zaidi ya mara mbili ya nauli ya usafiri hapa Tanzania. Its shame. Taxi at our aiports, ferry ZNZ-DAR n vice versa.
 
Uchumi unatakiwa akili na kujua maeneo yapi ni sensitive...

Nchi haina export za kutosha......tuna import more than export...Zao la kahawa lilikuwa ndo export muhimu sana. Ilitakiwa serikali ifufue zao la kahawa na kutengeneza mazao mengine ya export kwanza.

Export products inaleta foreign currency......but Tanzania we have few and scarce export na hence hatuna forex za kutosha.

Ajabu sana...mfano umeshalipia shati,,,,,siku unaenda kuchukua.....unaambia shati imeongezewa VAT.....unapata wapi pesa za kuongezea kwa mfano? Budget conscious person wanajua hili....katika kipato chako....unapanga budget.....

Mzungu alishapanga budget ya Vacation trip Tangu 2014 au 2015 kutembelea Tanzania....Tourists save money to travel to certain destination and plan budget ahead. Kutalii sio anasa, ni utamaduni kwa wazungu...

Abruptly you come up with Additional VAT, without considering pre booked trips? You don't have any idea on Tourism Business?

Tourism runs Tanzania economy through Agriculture market and employment

TRA were not even prepared on Tourism on VAT.....

Miamala ya Pesa there is confusion between BOT and TRA...

Tourism infrastructure in Tanzania is poor compared to Dubai, Morocco, Mauritius, Egypt and yet you want rich tourists

After all rich tourists pays same park entry fee as middle class tourists...

Sote ni Watanzania, tunapenda kulipa kodi ili kuijenga nchi yetu...Mama Tanzania.....
Mkuu kuna shida kubwa sana kwa wasomi wetu. Na hii inatokana kufanya kazi kwa mazoea. No research hawasomi kujua dunia inaendaje. Pili wizara mbali mbali ni tatizo kwa hili. Wizara nyingi na taasisi zake unapofika wakati wa kuandaa budget na IKAMA huwachukuwa watalaamu wao wale wale. Na mara nyingi huchukuwa figure za budget za nyuma na kuzimanipulate thent wanaunganisha. Ili waonekane Mwaka huu watakusanya pesa nyingi projection ya makusanyo ya mwaka huo wana estimate tu wakatimwingine hata bila kuwepo viable source ya revenue. Ukiangalia hili kwa undani, utaona ni assumptions tu zilizofanywa kuwa wakiongeza VAT kwenye utalii watakusanya fedha nyingi. Wakati huo wajaangalia consequences zinazoweza kutoka na hiyo VAT kwenye utalii. Shida ni watalaamu wetu kuwa na poor argument analysis. Ndo maana unakuta kunamgongano mkubwa na kile walichotarajia kinakuwa ndicho sicho. Kuna taasisi na Mashirika na hata pia serikali kuu hawakusanyi maoni kutoka kwa wadau. kujua hali halisi. Ni kama kiwanda kinataka kuzalisha kinywaji kipya bila kufanya market research hicho kinywaji kinaweza kuzalishwa na kisipate soko ilivyotarajiwa. Haya yanadhihirika hata kwenye vyuo vyetu. Unakuta Chuo kinaibuka tu na kuanzisha kozi ambayo hawajafanya research yoyote. Sawa watapata wanafunzi, baada ya wahitimu kumaliza chuo wanabaki kuhengi tu mitaani hawana sehemu ya kwenda. Nadhani sasa ifike mahali serikali ione umhimu wa research kama kweli tunataka kuendelea.
 
Uchumi unatakiwa akili na kujua maeneo yapi ni sensitive...

Nchi haina export za kutosha......tuna import more than export...Zao la kahawa lilikuwa ndo export muhimu sana. Ilitakiwa serikali ifufue zao la kahawa na kutengeneza mazao mengine ya export kwanza.

Export products inaleta foreign currency......but Tanzania we have few and scarce export na hence hatuna forex za kutosha.

Ajabu sana...mfano umeshalipia shati,,,,,siku unaenda kuchukua.....unaambia shati imeongezewa VAT.....unapata wapi pesa za kuongezea kwa mfano? Budget conscious person wanajua hili....katika kipato chako....unapanga budget.....

Mzungu alishapanga budget ya Vacation trip Tangu 2014 au 2015 kutembelea Tanzania....Tourists save money to travel to certain destination and plan budget ahead. Kutalii sio anasa, ni utamaduni kwa wazungu...

Abruptly you come up with Additional VAT, without considering pre booked trips? You don't have any idea on Tourism Business?

Tourism runs Tanzania economy through Agriculture market and employment

TRA were not even prepared on Tourism on VAT.....

Miamala ya Pesa there is confusion between BOT and TRA...

Tourism infrastructure in Tanzania is poor compared to Dubai, Morocco, Mauritius, Egypt and yet you want rich tourists

After all rich tourists pays same park entry fee as middle class tourists...

Sote ni Watanzania, tunapenda kulipa kodi ili kuijenga nchi yetu...Mama Tanzania.....
Andika kwa Kiswahili fasaha!
 
Wewe ni Job K

Kama hujaelewa basi wewe kasome QT....

Pole sana
 
hata wakijitoa haitasaidia wataalii wengi hushuka JNIA ndiyo kwenda Zanzibar.
 
Tourism infrastructure in Tz is poor compared to Dubai, Morocco, Mauritius, Egypt and yet we want rich tourist.

Lumumba huwa hawataki ukweri kama huo.wao huwa wao wanaimba tu kodi kodi as if wamekalili.
 
Watalii watapungua Zanzibar pia...

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wataongea muda sio mrefu
Kupungua utalii Zanzibar haotokani na ongezeko la VAT. Watalii wa daraja la kwanza hawababaiki na nyongeza ya 18% Tunawashudia watalii aina hiyo wanakodi chumba US$ 1500 kwa usiku mmoja na ikifika usiku utawaona kwa misururu wanakwenda na mahema yao na kulala kwenye fukwe. Hoteli za viwango vya aina hiyo zinakuwa zinajaa msimu mzima.

Watalii vishuka ndio wanaoweza kuathirika na ongezeko hilo. Inawezekana Utalii unaporomoka Zanzibar kutokana na hali ya kisiasa tu.
 
hata wakijitoa haitasaidia wataalii wengi hushuka JNIA ndiyo kwenda Zanzibar.
Umedanganywa na nani? Direct flights kutoka ulaya zinatua moja kwa moja Zanzibar na kuleta first class tourists kama vile akina Billy Gates n.k. Watalii wanaotoka bara wengi wao ni watalii vishuka wanaolala kwenye hoteli kuanzia dola 10 na mwisho US$100.

Watalii wanaokuja Zanzibar wanakuja kustarehe na kutumia sio kuja kuangalia wamasai na kupanda milima.Kama kilima kivutio si wangeenda kupanda Mt. Everest mrafu zaidi duniani.
 
Mzungu alishapanga budget ya Vacation trip Tangu 2014 au 2015 kutembelea Tanzania....Tourists save money to travel to certain destination and plan budget ahead. Kutalii sio anasa, ni utamaduni kwa wazungu...
Hao ni watalii vishuka hawana maslahi katika kuinua uchumi wa serikali moja kwa moja, lakini wanasaidia kunyanyua hali za wahangaika tumbo kuwa walala hai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom