VAT - Toa weka, ingiza, toa ina madhara kwa uchumi

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Huu Mchezo wa weka toa, au Zima washa...toa weka katika VAT unatikisa huu uchumi

A - VAT kwenye Usafirishaji na Bandari

Hii Serikali inakataa kusikiliza Wadau na wachumi walio nje ya Serikali

Wachumi walio Serikalini wanafuata kauli za Wanasiasa ili kushibisha matumbo yao, hawajali madhara katika uchumi

Siamini Watanzania ni wajinga hivi hadi Wakenya wanatucheka???

Kuondoa VAT ya usafirishaji mizigo nje kunastahili pongezi

B- VAT kwenye Utalii

Serikali ilikataa katu katu kukaa na wadau wa Utalii na kuwabeza

Mtikisiko kwenye utalii upo na uko wazi
 
Wanapitisha Sheria na Mabadiliko kwa Kura za Ndiooo

Kesho wanaunda Kamati kuchunguza nani alisaini
 
JAMANI HIVI LINI TUTAKUWA NA STABILITY KATIKA MAMBO YA KISERIKALI!!!
 
Back
Top Bottom