Kulipa kodi ni vyema na afya kwa Taifa linalotaka kuendelea na linalotaka kuwa na mwelekeo sahihi na dira ili chanya ktk uso ulio sahihi.
Kodi na VAT zilizoletwa na serikali hii, naamini zina lengo sahihi na lenye tija. Mfano kodi ya phone. Nchi mfano za ulaya wao wanalipa TV license, uwe unaingalia ama huangalii TV kitendo cha kuwa nayo tu unalipia. Kwao ni rahisi kwa sababu kaya zao ziko organized vizuri. Kwa Tanzania, serikali haiwezi tembea mguu kwa mguu ila kwa kutumia license ya Phone hapo itawawia rahisi kwao kukusanya kodi.
Mfano wa TV license ni huu hapa chini. Naamini anayelalamika, kuhusu kodi atakuwa ama hajui wengine wamefika hapo walipo hasa ukizingatia ulimwengu wa kodi, ama anafanya makusudi kupotosha wananchi na kuwatia hasira.
TV Licence Fee: €160.00
ama
It costs £145.50 for a colour and £49.00 for a black and white TV Licence. In some cases, you may be entitled to a reduced fee TV Licence (see table below).