VAT na TAX kwa Tanzania ni Sahihi

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Kulipa kodi ni vyema na afya kwa Taifa linalotaka kuendelea na linalotaka kuwa na mwelekeo sahihi na dira ili chanya ktk uso ulio sahihi.

Kodi na VAT zilizoletwa na serikali hii, naamini zina lengo sahihi na lenye tija. Mfano kodi ya phone. Nchi mfano za ulaya wao wanalipa TV license, uwe unaingalia ama huangalii TV kitendo cha kuwa nayo tu unalipia. Kwao ni rahisi kwa sababu kaya zao ziko organized vizuri. Kwa Tanzania, serikali haiwezi tembea mguu kwa mguu ila kwa kutumia license ya Phone hapo itawawia rahisi kwao kukusanya kodi.

Mfano wa TV license ni huu hapa chini. Naamini anayelalamika, kuhusu kodi atakuwa ama hajui wengine wamefika hapo walipo hasa ukizingatia ulimwengu wa kodi, ama anafanya makusudi kupotosha wananchi na kuwatia hasira.

TV Licence Fee: €160.00

ama
It costs £145.50 for a colour and £49.00 for a black and white TV Licence. In some cases, you may be entitled to a reduced fee TV Licence (see table below).
 
Sote tunakubaliana kwamba tunataka maendeleo, kama hivyo ndivyo, basi lazima tulipe kodi tupende tusipende.

Kulipa kodi ni mhimu kwa Taifa lolote lile. Ukitaka kuona wazungu ni hatari nenda kwao ujaribu kukwepa kulipa kodi. Utii wa kulipa kodi bila shurti na pia bila kuchanganya wananchi wengine ktk mambo mhimu kama ya kodi, ni mhimu sana kwa taifa linalotaka mabadiliko ya kweli na yaliyo na tija kwa jamii.
 
Serikali ya ukawa labda kodi ingetolewa
 
Kodi na VAT? Yale yale ya Barabara ya Morogoro Road!

Uwe unajisomea somea kujielimisha kabla ya kujibu.

Hundreds of sale transactions occur every moment around the world, on which the price of tax is inclusive which we never recognize. The tax charged on the sales can either be Sales Tax or VAT. The latter is an extension over the former and it is brought by the Government to fulfill the loopholes of the Sales Tax. Sales Tax is imposed by both Central and State Government while only the State Government has the right to levy Value Added Tax (VAT) on sale of goods.

Many people are still not known about the difference between Sales Tax and VAT. Here, in this article we are going to distinguish the two consumption tax along with their meanings

Read more: Difference Between Sales Tax and VAT (with Comparison Chart) - Key Differences
 
Kulipa kodi ni vyema na afya kwa Taifa linalotaka kuendelea na linalotaka kuwa na mwelekeo sahihi na dira ili chanya ktk uso wa sahihi.

Kodi na VAT zilizoletwa na serikali hii, naamini zina lengo sahihi na lenye tija. Mfano kodi ya phone. Nchi mfano za ulaya wao wanalipa TV license, uwe unaingalia ama huangalii TV kitendo cha kuwa nayo tu unalipia. Kwao ni rahisi kwa sababu kaya zao ziko organized vizuri. Kwa Tanzania, serikali haiwezi tembea mguu kwa mguu ila kwa kutumia license ya Phone hapo itawawia rahisi kwao kukusanya kodi.

Mfano wa TV license ni huu hapa chini. Naamini anayelalamika, kuhusu kodi atakuwa ama hajui wengine wamefika hapo walipo hasa ukizingatia ulimwengu wa kodi, ama anafanya makusudi kupotosha wananchi na kuwatia hasira.

TV Licence Fee: €160.00

ama
It costs £145.50 for a colour and £49.00 for a black and white TV Licence. In some cases, you may be entitled to a reduced fee TV Licence (see table below).
MZIGO MKUBWA KWA WALALAHOI
 
MZIGO MKUBWA KWA WALALAHOI

Actually sio mzigo ktk maana yake halisi. Maana ya kodi kiu halisia wake ni kama kusaidiana kuwezesha huduma fulani. Mfano kama tungekuwa tunachangiana kupeleka watoto university ama shule wala isingekuwa mzigo. Yani kama vile michango ya harusi unavyochangiwa wala huoni mzigo wake lakini wangekuachia pekee yako ungeona mzigo.

Maana ya kodi ni kukupa wewe huduma bora kabisa kwa kupitia watu wengine wengi ambao hawahitaji hiyo huduma kwa wakati ho.
 
Kulipa kodi ni vyema na afya kwa Taifa linalotaka kuendelea na linalotaka kuwa na mwelekeo sahihi na dira ili chanya ktk uso wa sahihi.

Kodi na VAT zilizoletwa na serikali hii, naamini zina lengo sahihi na lenye tija. Mfano kodi ya phone. Nchi mfano za ulaya wao wanalipa TV license, uwe unaingalia ama huangalii TV kitendo cha kuwa nayo tu unalipia. Kwao ni rahisi kwa sababu kaya zao ziko organized vizuri. Kwa Tanzania, serikali haiwezi tembea mguu kwa mguu ila kwa kutumia license ya Phone hapo itawawia rahisi kwao kukusanya kodi.

Mfano wa TV license ni huu hapa chini. Naamini anayelalamika, kuhusu kodi atakuwa ama hajui wengine wamefika hapo walipo hasa ukizingatia ulimwengu wa kodi, ama anafanya makusudi kupotosha wananchi na kuwatia hasira.

TV Licence Fee: €160.00

ama
It costs £145.50 for a colour and £49.00 for a black and white TV Licence. In some cases, you may be entitled to a reduced fee TV Licence (see table below).
Kulipa kodi ni vyema na afya kwa Taifa linalotaka kuendelea na linalotaka kuwa na mwelekeo sahihi na dira ili chanya ktk uso wa sahihi.

Kodi na VAT zilizoletwa na serikali hii, naamini zina lengo sahihi na lenye tija. Mfano kodi ya phone. Nchi mfano za ulaya wao wanalipa TV license, uwe unaingalia ama huangalii TV kitendo cha kuwa nayo tu unalipia. Kwao ni rahisi kwa sababu kaya zao ziko organized vizuri. Kwa Tanzania, serikali haiwezi tembea mguu kwa mguu ila kwa kutumia license ya Phone hapo itawawia rahisi kwao kukusanya kodi.

Mfano wa TV license ni huu hapa chini. Naamini anayelalamika, kuhusu kodi atakuwa ama hajui wengine wamefika hapo walipo hasa ukizingatia ulimwengu wa kodi, ama anafanya makusudi kupotosha wananchi na kuwatia hasira.

TV Licence Fee: €160.00

ama
It costs £145.50 for a colour and £49.00 for a black and white TV Licence. In some cases, you may be entitled to a reduced fee TV Licence (see table below).
Kumbuka na kuongeza kipato kwa mtumiaji/ mshahara wa mwalimu na hizo kodi ni unamsaidia or unamkandamiza??? Unafananisha Africa na Ulaya Ujui Above 18yrs old huyu kiumbe analipwa hela ya kujikimu kwa mwezi?? Na mengineyo.
 
hee...kwani vat sio kodi?

Ni kodi inayotokana na ongezeko la thamani. Lakini TAX ni Sales tax ni kodi ya kitu kwa uhalisia wake, na hii ndo inaitwa TAX. Mfano ile kodi ya kichwa ya wakati ule ni VAT?

Ama TAX ya kumiliki nyumba ni VAT?
 
Kumbuka na kuongeza kipato kwa mtumiaji/ mshahara wa mwalimu na hizo kodi ni unamsaidia or unamkandamiza??? Unafananisha Africa na Ulaya Ujui Above 18yrs old huyu kiumbe analipwa hela ya kujikimu kwa mwezi?? Na mengineyo.

Wapi analipwa pesa ya kujikimu? hizo stori za vijiweni na colonial mentality. Ulaya ni pagumu kuliko bongo, hela yote unayopiga box inaishia kulipa kodi. Ulaya unaishi kwa madeni ya bank ya credit card, mshahara unaishia kulipia Utilities na kodi.

Mfano nchi nyingi za EU ukiwa na mshahara chini ya 40K tax yake ni 22% na mshahara ukizidi 40K kwa mwaka tax yake ni 50% kwa hiyo inayozidi.
 
Ni kodi inayotokana na ongezeko la thamani. Lakini TAX ni Sales tax ni kodi ya kitu kwa uhalisia wake, na hii ndo inaitwa TAX. Mfano ile kodi ya kichwa ya wakati ule ni VAT?

Ama TAX ya kumiliki nyumba ni VAT?
tukueleweshe tu...VAT ni moja ya aina za kodi (TAX )....zipo zinginezo pia
 
Wapi analipwa pesa ya kujikimu? hizo stori za vijiweni na colonial mentality. Ulaya ni pagumu kuliko bongo, hela yote unayopiga box inaishia kulipa kodi. Ulaya unaishi kwa madeni ya bank ya credit card, mshahara unaishia kulipia Utilities na kodi.

Mfano nchi nyingi za EU ukiwa na mshahara chini ya 40K tax yake ni 22% na mshahara ukizidi 40K kwa mwaka tax yake ni 50% kwa hiyo inayozidi.
Unemployment insurance is a joint federal-state program that provides temporary benefit payments to employees who are out of work through no fault of their own, until they can find another job. These days, finding another job is no small feat: Many workers have found themselves out of work for up to a year or more. In recognition of these tough economic times, the federal government has passed a number of extensions that make unemployment benefits available for a longer period of time.

Benefit Amounts
Unemployment benefits are intended to partially replace lost wages, so the precise amount you receive will depend on what you used to earn. States use different formulae to calculate benefit payments, but all states take prior earnings into account in some way. Some states consider the employee's prior annual earnings, others look at the employee's earnings during the highest paid quarter or two quarters of the base period. (For more on the base period, see Nolo's article Unemployment Compensation: Understanding the Base Period.)
 
Sasa hiyo insurences unafahamu maana yake mkuu? na ili uwe insured nini kilikupasa kufanya hapo awali?
Ama unafikiri hiyo benefit unaipata tu from nowhere kijana hana kazi?
 
Nilitaka kukujulisha umelita mswada ukakopi and paste kutoka europe ili na sisi tulipe kodi hata ya TV je umefanya research hata ya kulinganisha Kiwango cha chini cha Mtanzania anacholipwa?? Nimekupa mfano wa mwalimu 300k take home, hapo bado Kodi kadhaa, Nyumba, Maji, Umeme, simu, Bank, chakula na nauli je unafikiri kumrukia hizo kodi ni unaongeza ufanisi na kukuza pato la nchi or?? Nimekupa mfano hapo wenzetu Kama umepoteza ajira pia unafikiriwa kulipwa ili ujikimu still unabisha je ni serikali gani duniani inayofikiria kumkamua Raia wake or kumgandamiza hata kwa kipato kidogo anachopata?? Mmekosa fikiria kodi za Mdini yetu, Maliasili zetu na utalii wetu ambazo ndizo zingetunyanyua kiuchumi??
 
Back
Top Bottom