VAT kwenye risiti za TRA

lopinavir

Senior Member
Jul 11, 2015
186
121
Nimenunua Item (PC),nikaomba rusiti nikapewa hii ya tra lakini naona VAT ni ziro(0),je ni sawa kuwa na zero VAT?kama inavyoonekanakwenye risiti hii.
y
ca1ced3c071960e1e8d349cc4f563c3b.jpg
 
Mwenye hiyo mashine ilitakiwa aende kwa aliemuuzia akafanye Updates katika Items zake ili zisome vat groups husika..
hii ni baada ya sheria mpya ya kodi ya VAT..sababu kitambo computer hazikutozwa VAT..ila sasa zinatozwa..
Na huyo muuzaji amesajiliwa kukusanya vat.

Ushauri:
Mrudishie risiti na umwambie hayo.
 
Back
Top Bottom