Kinachoniuma ni kwamba nilipochukua uamuzi wa kufanya vasectomy, alifurahi sana na kuwaeleza watu jinsi alivyoona kuwa mimi ni responsible husaband. manesi pia walinisifia sana. sasa ghafla wife ana mimba, ntauweka wapi mimi uso wangu jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiii! si afadhali angetumia kinga, walau angenisitiri utu wangu?
Katika vitu ulivyo enda chaka ni pamoja na maamuzi ulioamua kuyafanya kuhusu huo mpango wa uzazi. Unauhakika gani kuhusu watoto labda wote siyo wako ?
Kuna jamaa alinipa inshu ka hiyo, secretary wa husband kasema boss kampa mimba, kesi hiyo mpaka mahakami. Jamaa kapimwa siku ya siku Dr anakuja kutoa ushahidi mbele ya hakimu anasema jamaa hawezi zaa kamwe and guess what ana familia ya three kids!! Sometimes life can be a real b***h especially ndoa. I salute all ambao mko kwenye ndoa big up sana!
Kuna jamaa alinipa inshu ka hiyo, secretary wa husband kasema boss kampa mimba, kesi hiyo mpaka mahakami. Jamaa kapimwa siku ya siku Dr anakuja kutoa ushahidi mbele ya hakimu anasema jamaa hawezi zaa kamwe and guess what ana familia ya three kids!! Sometimes life can be a real b***h especially ndoa. I salute all ambao mko kwenye ndoa big up sana!
Pole sana ndugu yangu hii issue kama yako imetokea pia kwa mzee mmoja alikuwa jirani yangu mitaa ya mikocheni huyo baba alifanya vasectomy muda mrefu sana bila ya kumwambia mkewe imepita miaka mitano mke akapata ujauzito bila kujua akamwambia mumewe kuwa anamimba kwa bashasha kuwa wategemee kupata mtoto, yule mzee akamjibu kuwa hiyo mimba aipeleke kwa mwenyewe maana sio yake yule mama kajajuu kaenda kushtaki kwa wakwe na wazazi wake kuwa mumewe kampa mimba halafu kamkana, wanafamilia wakaitisha kikao yule mzee akawaambia kuwa miaka mitano iliyopita alifanya vasectomy kwani watoto alionao wanamtosha mama kusikia hivyo vikamshuka na ndipo alipokiri kuwa anatembea na mwanaume mmoja ambaye ni jarani yao wakati huyo baba ni mume wa mtu, mama kaambulia talaka yake na sasa ameshajifungua.
huyo mwanamke sio mwaminifu mptatie talaka yake iwe fundisho na kwa wengine ambao sio waaminifu.
Du! pole sana mkuu,ni zaidi ya pasua kichwa madam Canta!
ni zaidi ya pasua kichwa madam Canta!
Japo uamzi wa mwisho ni wako lakini kweli huy hakufai na bora asepe watoto kulea utalea tu...ila kama itashindikana kabisa na wewe bora utafute wa kumpa mimba na umletee uone atafanyaje