Various Mobile phone, Samsung Tab ipad and watches for sale at best price.

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
Mzigo mpya umewasili kama kawaida bei poa mali poa. kama unaitaji ni inbox bei inaongeleka

Bb 9900
800,000
Curve 9360
450,000
Samsung S2
750,000
Samsung Wave 2
500,000
iphone 4
750,000
iphone 4s
900,000
Nokia N9
750,000
Nokia C6
350,000
HTC
430,000
ipad2 16gb
800,000
ipad2 16gb
800,000
Galaxy Tab
630,000
Watch Bosch
Sekonda with Leather belt
130,000





Varios .jpg Blackberry 9360 bb9360.jpg
 
Kumbuka na kuichangia jf sio kupenda mteremko kwanza umelpia VAT au nyie ndo wale mashanta wa jiji,kazi njema
 
Kuchangia JF hilo usihofu nitaichangia sana kwani naona kama itakuwa inaniwezesha kupata wateja kirahisi na JF ni jungu kuu kwa watanzania na watu wote duniani. Pili sio mashanta infact sijuii nini maana ya hilo neno (mashanta) mimi naimport mzigo from USA South and some from UK. Kulipa kodi ni jadi as u know huwezi pita airport bila kulipa kama una piece zaidi ya tano.
Kumbuka na kuichangia jf sio kupenda mteremko kwanza umelpia VAT au nyie ndo wale mashanta wa jiji,kazi njema

Kila ninachouza ni original naopa sana bidhaa za wachina although most of the products now days ni assembled in China ila hiyo haina maana ni product ya china.
Weka contact kiongozi, na hyo sumsung s2 ni ya wapi. Na ipad

Gallaxy tab, ipad2 zimekwisha kwa sasa nimebakiwa na simu tu.

kwa maelezo zaidi unaweza kunipata kwa namba hii 0714500004
 
Back
Top Bottom