VAR yawapa away goal kaizer chiefs vs waydad.. caf champions league semi final

man dunga

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
1,159
2,000
Var ni refa wa technology.. hakuna ujanja wa kudanganya
Kumbe hujui hata VAR inavyofanya kazi. VAR inaendeshwa na watu na kazi yao ni kurudia kuyaona matukio kwa msaada wa video ambayo refa wa kati ameyafanyia maamuzi au hajayafanyia. Kwa hiyo refa wa kati akipeta pia VAR wanaweza kupeta sababu kurudia kuliona tukio mpaka waamue wasipo amua hakuna anaewalazimisha. Kwa hiyo hata VAR ikiwepo magumashi inawezekana tu.
 

Shakir

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
1,039
2,000
Hivi kwanini kila timu za nchi nyingine inapokuja Dar es salaam kucheza na Simba zinashindwa hata kutuliza mipira, wanakuwa wazito uwanjani kama vile wamebebeshwa mawe miguuni?
Tumeona jinsi Al Ahly walivyofanyiwa mpaka tukahisi hiii Simba itaenda kumtandika msudan goli saba huko Sudan ila wakarudi kwenye usimba wao huko Sudan. Kaizer chief wamewawahi kwa mpiira mikakati kama wafanyavyo Simba
Kwa Mkapa hatoki mtu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom