VAR yawapa away goal kaizer chiefs vs waydad.. caf champions league semi final

Maswali yako anajiuliza shabiki wa rede. Kwa mashabiki wa soka inajulikana kabisa kuwa timu ikiwa nyumbani inakuwa na morali ya juu na ndio maana kuna sheria ya faida ya away goal(mechi za mtoano). Kwa hiyo timu ikiwa nyumbani halafu ikiwa na ubora wa timu unaoshabihiana au kuwazidi timu pinzani basi ni rahisi kupata matokeo.

Ndio maana pamoja na morali waliokuwa nayo utopolo walipokutana na pyramid pale Kirumba mbele ya mashabiki lukuki lakini walipigwa 2-0 kutokana na kiwango kusaliti hata kama morali ilikuwepo.
Umeongea huku umejipinga mwenyewe mwishoni kwamba morali ya kuwa nyumbani haifanyi kazi kwembe mpira wa miguu labda uwe na mbinu zinginezo lakini sio kutegemea morali ikubebe. Timu ikufunge goli tano kwake halafu timu hiyo hiyo ije Dar na kubadilika kuwa timu amateur.
 
Labda wanapatwa na kiwewe baada ya kusikia zile press za Manara, wakisikia do or die , war in dar wanachanganyikiwa kabisa
Hizi kauli sio tu za kuhamisisha bali ni za kumaanisha kabisa. Wanaoenda mbali zaidi ili kuhakikisha wanapata wanachokitaka
 
Mpira una maajabu sana.. Kaizer hana mpira wowote muda wote kapaki basi..sema tu bahati imewabeba.

Na jambo jingine, wamshukuru sana kipa.. kwangu mimi ndie man of the team.

View attachment 1824531
🤣🤣🤣 Next match Wydad anaenda kuuwa mtu sio chini ya goli 4.. hii comment siifuti.
Kaizer chief hana maajabu nashangazwa na watu wanaompamba kwa kuangalia matokeo ya mwisho bila kuangalia perfomance ya timu

Kaizer chiefs hata kwa azam bado ni underdog, hana mpira wa kumuwekea dhamana ila zali tu ndo zimemuandama
 
Umeongea huku umejipinga mwenyewe mwishoni kwamba morali ya kuwa nyumbani haifanyi kazi kwembe mpira wa miguu labda uwe na mbinu zinginezo lakini sio kutegemea morali ikubebe. Timu ikufunge goli tano kwake halafu timu hiyo hiyo ije Dar na kubadilika kuwa timu amateur.
Soma vizuri nimekuambia morali pamoja na kiwango bora. Mechi zote ambazo simba imeshinda kwa mkapa ni kwamba ilicheza kwa kiwango bora kabisa.
Halafu hivi wewe ni shabiki wa mpira kweli? Yaani unashangaa timu iliyofungwa 5-0 ugenini kushinda kwake? Hapa hapa Afrika mamelod iliwahi kuifunga al ahly 5-0 halafu kule misri mamelod akapigwa 2-0,Je unazungumziaje matokeo haya? au haya ni halali ila kwa simba akishinda inakuwa figisu. Hakika mna utopolo ku mkichwa.
 
Sio kweli mamelodi ule msimu aliomfunga al ahly 5 kwa 0 alienda kufungwa 2 kwa 0 kwenye marudiano...

Al ahly alishinda 1 tu.
 
Lakini si alishinda? Utopolo mwenzako anakuambia ukitoka kufungwa 5-0 ugenini, kwako haiwezekani kushinda kihalali.Duh..
 
Mbona unakimbia hoja yako ya 2-0 kwanza. Kubali kama umesema uongo... na useme ukweli
 
Kabisa.. huko kwao atapigwa nyingi sana, hawataamini wasauzi.

Msimu huu kaizer chiefs na waydad wameshakutana mara 3 ... waydad kashinda mechi 1.. na kaizer kashinda mechi 2. Kwa hiyo mechi ya nne waydad asiende na matokeo mfukoni kama simba.. maana kaizer amejua jinsi ya kumfunga waydad kwa mechi 2 mfululizo.. usitegemee mechi ya 4 atakuwa mnyongee
 
Mbona unakimbia hoja yako ya 2-0 kwanza. Kubali kama umesema uongo... na useme ukweli
Hiyo sio hoja, ingekuwa hoja kama ningedanganya kwa kusema al ahly alishinda wakati kumbe alifungwa baada ya kutoka kufungwa 5-0 ugenini. Hoja iliyopo ni kushinda nyumbani baada ya kutoka kufungwa 5-0 ugenini, mwenzio anakuambia haiwezekani kushinda kihalali nyumbani ukitoka kufungwa 5-0 ugenini .Je al ahly hakushinda baada ya kutoka kufungwa 5-0? Umeelewa hoja ilipo au niendelee kukuelewesha?
 
Soma vizuri nimekuambia morali pamoja na kiwango bora. Mechi zote ambazo simba imeshinda kwa mkapa ni kwamba ilicheza kwa kiwango bora kabisa.
Halafu hivi wewe ni shabiki wa mpira kweli? Yaani unashangaa timu iliyofungwa 5-0 ugenini kushinda kwake? Hapa hapa Afrika mamelod iliwahi kuifunga al ahly 5-0 halafu kule misri mamelod akapigwa 2-0,Je unazungumziaje matokeo haya? au haya ni halali ila kwa simba akishinda inakuwa figisu. Hakika mna utopolo ku mkichwa.
Wapi nimeandika kuwa haiwezekani timu kufungwa mechi ya marudiano? Nimekwambia haiingii akilini timu ishinde goli tano halafu ikija dar inacheza kama amateur. Hapa nimeongelea performance na sio matokeo. Nimemaanisha nini?
Timu zikija dar ball controll zinawakataa
Pasi za uhakika zinawakataa
Kuona goli kunawakataa
Mpira unawakataa, ndio maana nikasema Kama ni game plan au performance kwanini iwe Dar tu?
Uneongelea mamelody kushinda tano na kisha wao kufungwa mechi ya marudiano. Hebu niambie team performance ya hao Mamelod ilishuka kiasi kama vile timu ya amateur kwenye mechi ya marudiano?
 
Uneongelea mamelody kushinda tano na kisha wao kufungwa mechi ya marudiano. Hebu niambie team performance ya hao Mamelod ilishuka kiasi kama vile timu ya amateur kwenye mechi ya marudiano
Angalia hizi takwimu za mechi husika halafu niambie yupi alicheza kama amateur ugenini pamoja na kushinda 5-0 nyumbani? Leta jibu.
Screenshot_20210620-183542.png
ni mcha..wi
Screenshot_20210620-183646.png
 
Mbona mwaka juzi ile timu ya Msumbiji waliifunga Simba Dar goli 3-1 na kuiondoa Simba kwenye michuano.

Simba wame-improve sana kwa siku za karibuni na wakiwa nyumbani wanakuwa very determined japo nina wasiwasi kama watakuwa consistent kwa msimu ujao.
 
Wapi nimeandika kuwa haiwezekani timu kufungwa mechi ya marudiano? Nimekwambia haiingii akilini timu ishinde goli tano halafu ikija dar inacheza kama amateur. Hapa nimeongelea performance na sio matokeo. Nimemaanisha nini?
Timu zikija dar ball controll zinawakataa
Pasi za uhakika zinawakataa
Kuona goli kunawakataa
Mpira unawakataa, ndio maana nikasema Kama ni game plan au performance kwanini iwe Dar tu?
Uneongelea mamelody kushinda tano na kisha wao kufungwa mechi ya marudiano. Hebu niambie team performance ya hao Mamelod ilishuka kiasi kama vile timu ya amateur kwenye mechi ya marudiano?
Nimekuwekea takwimu hapo juu, haya ni yupi alicheza vizuri kati ya Al ahly na mamelod walipokuwa away pamoja na kushinda 5-0 nyumbani.Takwimu hizo hapo leta jibu.
 
Wapi nimeandika kuwa haiwezekani timu kufungwa mechi ya marudiano? Nimekwambia haiingii akilini timu ishinde goli tano halafu ikija dar inacheza kama amateur. Hapa nimeongelea performance na sio matokeo. Nimemaanisha nini?
Timu zikija dar ball controll zinawakataa
Pasi za uhakika zinawakataa
Kuona goli kunawakataa
Mpira unawakataa, ndio maana nikasema Kama ni game plan au performance kwanini iwe Dar tu?
Uneongelea mamelody kushinda tano na kisha wao kufungwa mechi ya marudiano. Hebu niambie team performance ya hao Mamelod ilishuka kiasi kama vile timu ya amateur kwenye mechi ya marudiano?
Usirudie kubwabwaja bila ushahidi ewe utopolo, ni ushabiki maandazi huo. Mpira ni mchezo wa wazi na simba inacheza hadharani lakini kwa utopolo wenu na kutaka kujifariji mnajifanya hamuioni simba ikicheza.
 
Record huwa hazijirudii, kama ulicheki game ya jana all the time kaizer amepaki basi. Hata lile goli walibahatisha.

Wydad anaenda kumaliza game ya ugenini mapema sanaa, hii comment siifuti.

Tunza comment kwa kumbu kumbu.. maana mtu kapigwa kwake anapofanya fitna zote.. anategemea akashinde ugenini.. ambapo simba alikula 4 kwa 0 kama kasimama
 
Fitina gani tena?

Mpira wa africa huujui.. simba mwenyewe taifa huwa anapata matokeo sabab ya fitina ila ugenini anakula nyingiii.. africa ni rahis sana kubebwa na refa kwako kuliko ugenini...

Hata jana kaizer alikataliwa goli.. ila sababu kuna VAR refa akakosa ujanja wa kuendelea kukataa
 
Una hoja za kiduwanzi sana. Ingekuwa rahisi kihivyo kufanya hizo fitina Simba ingeitoa Kaizer pia Mazembe au Vita wasingeishia makundi.Msimu huu simba kuanzia kufuzu mpaka quarter final away kafungwa jumla ya magoli 6 na home simba kafunga jumla ya magoli 12. Sasa hizo nyingi za away ziko wapi wewe utopolo?
 
Back
Top Bottom