Chenu ambacho kipo kama cha mkaanga chips kiko wapi??Mwanzo mgumu jamani VAR ya refa utadhani kibanda cha tigo pesa
wametisha sana yanHahahah jamaa wametisha. Huu ni uthubutu. Hongereni Kenya.
Daah mzee, c ndo mana nkasema mwanzo mgumuChenu ambacho kipo kama cha mkaanga chips kiko wapi??
Wamejitahidi wapongezwe
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app