Vanessa Mdee Atumbuza ndani ya Jumba la Big Brother Naija Jana

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,805
Jana usiku katika chezea chezea remote yangu nikaangukia kwenye channel y BBN nakukuta Mwandada Mrembo kutoka Tanzania Vanessa Mdee akitumbuiza ndani ya jumba la BBN akiambatana na Ice Prince

nilifurahi kuona wabongo tunaendelea kupasua anga la kimataifa katika tasnia ya Mziki,I though Mdee amekimbia kutokana na sakata la madawa ila mwanadada kumbe anaendela kukichanga na kuhustle in Naira,

Hongera sana vanessa Mdee

New Video: 1DA feat. Harrysong – Joy (Remix)ice-prince-feat-vanessa-mdee-no-mind-dem/
 
BBA naija kuna jamaa anafanana na Diego Costa kinoma
TTT-diego-costa-238x178.jpg

anaitwa Tintalltony TTT ha ha ha ha
 
img_4312.jpg
download.jpg

Jux anatakiwa asiwe na wivu V money ni Cash madame naija imemnogea,Video kama hizi ndio maana mke wangu sio Musician
 
Back
Top Bottom