Wana JF naombeni msaada kwa hili. Mimi napendelea sana kunywa mix ya valuer na redbull, siku moja rafiki yangu akaniambia kuwa mix hiyo ni noma coz inaathiri sana figo. Mix hy huwa ina nipa mzuka afu kama ndo napiga game aisee huwa naweza nisishuke hata kwa 1 and half hours. SWALI: je kuna ukweli wowote juu ya athari hiyo ya figo na kama ni hivyo Substitute yake ni ipi kwny game ukiacha supu ya pweza?
Nawasilisha.
Nawasilisha.