Valentino Mlowola wa TAKUKURU aliwahi kuwa Boss Polisi, Atatendea haki faili la LUGUMI?

20160415_045809.jpg

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru bwana, Valentino Mlowola aliwahi kuwa Chief of Police Inteligence na pia aliwahi kuwa RPC katika Jeshi hilo.

Swali:Mtu ambae aliwahi kutumika Jeshi hilo leo hii ataweza kweli kusimamia uchunguzi dhidi ya Taasisi yake hiyo ya awali?Je,bwana huyu hana marafiki huko?

Anyway,wacha tu siku ziende!
Una hangaika sana...
 
HAKUNA KITU HAPO NI ULAGHAI TU! WANATAKA KUBADILI UPEPO HAO. BUNGE LIKOMAE TU!
 
Mwalimu jk...aliwahi kuulizwa kuhusu police akasema hao watafukuzana wenyewe....

Suala LA mlowa tena movie itakuwa tamu sana
 
Anaweza kama alikua mwadilifu ndani ya hilo jeshi.
Pia kumbuka taasisi anayoiongoza ni nyeti na anaangaliwa kwa umakini zaidi na jamii. Huu mmmmmmmmmmmm
Kitendo cha yeye kua double standard kwa hii awamu ya tano ni hatari kwake.
Aliapa kiapo kutumikia ofisi hiyo kwa uaminifu. Kazi kwake akileta yale ya mazoea.
 
Takokuru siku zote huwa inaendelea na uchunguzi ila ukiwa mfanyabiashara inakufilisi kabisa wala rushwa wakuu ni wao na nahis wengi vyeti vyao ni njia za panya ndio maana wanazidiwa na kesi za wanaotumia mwanasheria binafsi
 
Mwalimu jk...aliwahi kuulizwa kuhusu police akasema hao watafukuzana wenyewe....

Suala LA mlowa tena movie itakuwa tamu sana
Said mwema amepewa kazi ya kumtuliza na Lugumi yy anadili wengine Huku kitwanga akiwapiga pesa kamati ya Bunge , wamejipanga kuhakikisha kuwa hawashindwi kabsa.
 
Sasa ni Lugumi 3 na JPM 0 Lugumi yupo juu ya sheria hakamatiki .
Kweli kabisa Lugumi hakamatiki Manaa walishajipanga na kuweka mazingira ya kuwa untouchable.... in case....!! Wanajua walichokuwa wanafanya!
 
Back
Top Bottom