Valentines

Ndio kutuwekea vimoyo vinapepea pepea, si aundikie tujue, ama kama umenyang'anywa si useme
 
GBWA-20190214162247.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua ni kwamba, asilimia kubwa Mapenzi yanakuwa ya upande mmoja.

Nikiwa na maana, unaempenda wewe kwa dhati yeye wala hayuko nawe (hakupendi) na yule anaekupenda wewe kwa dhati wewe wala hauko nae (humpendi).

Ni mara chache sana kukutana wote mnaopendana kwa dhati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom