Kisura
JF-Expert Member
- Jun 21, 2007
- 364
- 26
Mimi najua jibu, ila chikwambiii ng'oo.
Bebeshi Nanho....
Tafadhali...Nipe hint! hint!
Mimi najua jibu, ila chikwambiii ng'oo.
aaargh, mbona naanza kupandwa na jazba, sasa kukaa kimya kote huko ni kwa nini? si nami leo hii ningekupelekea angalau hayo maua au basi kadi tu... daah, haya bana, wewe waanike wakutamanio hapa tu... lol
back to basics: picha utanitumia kisura? (samahani naanza kuongea kwa hasira..subira inaanza kuwa suruba)
Mzalendo, huu utamaduni wetu kabisa... maua yote yanaota kwetu, si unajua kuwa Kenya's export ya maua ni theluthi ya export dunia yote?... maua kibao huku Iringa, Arusha, Rukwa n.k. mengi yake yanaonekana kama mimeo pori tu... ila binadamu tuko progressive, hata katika utamaduni (btw, hii haimaanishi kuwa utamaduni wetu ni nyuma), basi ni katika ile hali ya kuweza kutumia God given natural abundancies na kuzifanya ziwe nyenzo katika jamii, kwa furaha na kwa huzuni. Maua na kujipamba na maua ni mojawapo la hili. Mfano mzuri ni inchi kama Japan, vitu vingi ni vya kitamaduni, lakini vingi vyake vinafanywa katika setting iliyo modern. Au basi angalia jinsi Ghana wanavyojua kujipamba na rangi rangi mbalimbali.... si uliangalia African cup of nations?....wanatumia vitu asilia kujipamba huko, wanasaga rangi mawe na kuyafanya rangi, wanabonda bonda majani na kuyafanya rangi... ikifika time wanatechnolojia nzuri, wataweza kujipamba hivo hivo lakini kwa umaradufu zaidi.Halafu huu utamaduni wa maua ktk mapenzi not African- naona kama tunaiga tu!
Aisee mimi kila siku ni valentine tu. Mapigo yale yale, mdundo ule ule. Ila ikifika 14th February najikausha kama siijui vile.......makusudi tu.
Ni pm basi kunitonya (nianze mashambuli) Nzokanhyiluyapingoshangenu! lolMimi najua jibu, ila chikwambiii ng'oo.
Basi yameisha yale...
Picha? Nisaidie kwanza nitampataje 'admirer' wangu? Nisaidie, nikusaidie...lol!
Ahadi ni deni. Kisura kama unakumbuka uliniahidi picha baada ya mimi kukutumia wimbo, lakini mpaka leo hii.... kwa sasa sina uhakika tena na hizi methali zetu... ningeweza kabisa kukusaidia, lakini najihisi hii itakuwa kama 'kanyaboya' nyingine tu. Na itafika mwaka kesho nitapewa ahadi nyingine. Samahani sana, maana naanza kuonekana kukata tamaa sasa.
Nidhihirishie kuwa utanitumi picha na siyo avatar!
jamni mnaniumiza kwani mpaka saa hii cjajua nitakuwa na nani ila hope wadada wa jf hawatanitosa in jesus name
jamni mnaniumiza kwani mpaka saa hii cjajua nitakuwa na nani ila hope wadada wa jf hawatanitosa in jesus name
Kumbe ni ushetani mtupu.Limeanzia kwa waabudu mungu jua.
Lengo lake ni kuutukuza upendo kwa tafsiri ya ngono. Yani ni siku ya kutukuza kile kilichomwangusha hawa katika bustani ya eden.
Na washeherekeaji wanavyovaa nguo nyekundu ni ishara ya kujulisha mmoja kwa mwingine kuwa tunda limepevuka na liko tayari kuliwa.
Makyao habari ndio hiyo ila mi mwenyewe simo, najitoa mapema. NGIKERIPHONYIII!!!!
mungu akuatarishe na videmu vya "mizinga" in jesus name viwe jf
,ze utamu nifahamishe na popote pale ukawashtukie natangazwa kuachiliwa kwako
na pia in jesus name usiende ukaubea wa kuubeba!
Sio kweliKumbe ni ushetani mtupu.
Hao wapendanao kumbe ni wana ngono?