Valentine hii unasherehekea na nani?

Kuna ujanja hapa.

Kuna vibinti havielewi hali ya maisha ikoje, atataka zawadi mara mtoke siku hiyo. Dawa ni moja.

Tarehe 10, ikifika saa moja usiku aga unalala unajisikia vibaya.

Tarehe 11, onyesha hauna credit huku unabembeleza ugonjwa.

Tarehe 12, sema umeenda hospitali kupimwa majibu utayapata kesho. sema umeenda ya serikali.

Tarehe 13, sema umeenda daktari umemkosa. Rudi asubuhi sema umefikia kwa rafiki yako huna nguvu za kukaa home peke yako.

Tarehe 14, upo hoi kitandani.

Mpaka tarehe 16.

Hii ni kwa wenye wapenzi wengi kama una mpenzi mmoja achana na hii.
Hahaha bonge la technique
 
Ni upuuzi / upupu wa Kiwango cha juu na cha Kimataifa kudhani kwamba Sherehe za Valentine zinamaanisha tu Mahusiano ya Kimapenzi ( Kungonoka / Kubaiolojika ) tu. Sijui kwanini Waafrika tuna uwezo mdogo wa Kufikiri hivi na tuna mambo ya hovyo hovyo.
Lazima aliwe mtu valentine day. Utake usitake
 
siku hio nitakuwa Nipo na vitini plus PDF zakutosha nikijiandaa kwa test one siku ya tare 15
Haha valentine alafu unakula kitabu. Safi ndo ukome. Ulipata nafasi ya kufeli ukajitia kiherehere kufaulu sasa shughuli yake utaipata.
Wakati wenzio tunagegeda we unasoma haha
 
Valentine Day ma sista duu Dar wanaitafsiri vibaya sana!
Demu wangu anataka mm tu ndiyo niwe nampa zawadi yy hata siku moja hajawahi
Safari hii nazima simu kudadeki
 
Haha valentine alafu unakula kitabu. Safi ndo ukome. Ulipata nafasi ya kufeli ukajitia kiherehere kufaulu sasa shughuli yake utaipata.
Wakati wenzio tunagegeda we unasoma haha
Mkuu umeniacha hoi yaani sahivi nampango nikimaliza chuo nirudi shamba tu maana baba yenu magu naona hata Hana mpango wa kuajiri
 
Mkuu umeniacha hoi yaani sahivi nampango nikimaliza chuo nirudi shamba tu maana baba yenu magu naona hata Hana mpango wa kuajiri
Endelea kupoteza mda shulen na wakati ajira zenyewe hakuna. Na kwenda kufanya kazi nje mpaka miektronika
 
hakuna namna ni kwenda kuona mpira tu maana waliopanga ratiba za UEFA ni kana walijua vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom