Valentine hii kupo kimyaaaaa

Si hata mm nimeshangaaa yani mtaani kimyaa huku changanyikeni kimyaa naona tunaanza kujali wapendwa wet wa karibu kuliko kujionyesha njiani na manguo mekundu
Kila jambo na wakati wake hahaha,niko na 35 years, two kids,nianze na manguo mekundu ,kweli?!! Big noo.majukumu yametamalaki now.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...daah kanibana toka asubuhi hataki nitoke na Kama nikitoka niende nae na nlkuwa na ahadi na mtoto Suzy toto la kinyaturu jeupe shepu namba 8 hii sio fair kabisa ila ngoja Leo nimpetipeti ila karoo kanauma sjui toto nimeliacha kweny Hali gani
 
Safiiii sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom