Valentine day-Sio lazima zawadi kubwa hata Sms inatosha!!

I hope hio message sio ya kuforwards aiseee!! Yaani ashindwe zungumza neno lolote zuri bila ku copy na kupaste? lol

Naomba niongezee... Valentine sio tu about spending, it is more about kufikisha ujumbe to the people we love... Inatakiwa huo ujumbe uwe walau umetoka katika moyo wako na wayamaanisha, najua sio woote wajuzi wa ku compose message but ni muhimu pia kuangalia ujumbe ambao umekua derived toka katika mahusiano yenu ili walau hata kama mmeshindwa kutana na mpenzi wako kufanya lolote la msingi pamoja ajue kua you are in her/his thots.... Angalia huu mfano chini... ipi mpenzi ataifurahia zaidi?

Mfano:

Hii ni message ya ku copy na kupaste....

O my love Valentine.What is life?
Life is love.What is love?
Love is kissing.What is kissing?
Come here and I show you

Hii ni message ya ku compose mwenyewe....

Mpenzi natamani tungekua wote siku ya leo,
nimemiss mapish yako, nime miss your unique
way of kissing, I wish ningeweza sikia those crazy
sounds u make when we make love... na more so
I love that rough but sexy laugh of yours...
 
I hope hio message sio ya kuforwards aiseee!! Yaani ashindwe zungumza neno lolote zuri bila ku copy na kupaste? lol

hii avatar inanivutia sana.....sijui kwa nini ulichelewa kuiweka.....
tafadhali usije ibadilisha..........

 
hii avatar inanivutia sana.....sijui kwa nini ulichelewa kuiweka.....
tafadhali usije ibadilisha........


Nimefurahi saana... (si wajua kua yanipa hope I have done right? lol) Enways I love Whitney na nimeona it is the only way I could morn her... nimtazame via avatar, na nisome qoutes zake na kubadili every day....
 
my rose is red, ur eyes are blue...
hili sms kibongobongo linafanya kazi kweli?
 
Message nzuri ni ile ya kutunga mwenyewe na kwa maneno yako mwenyewe na kutoka moyoni mwako badala kukopi na kupaste maneno ya wengine.
 
Message nzuri ni ile ya kutunga mwenyewe na kwa maneno yako mwenyewe na kutoka moyoni mwako badala kukopi na kupaste maneno ya wengine.

Ni kweli lakini kumbuka wengine sio ma creator,hivyo wanahitaji msaada,hujawahi kuona wengine mpaka kutongoza anamtuma mwenzie?
 
duuu..!hizo sms za kiswa-English na za ku copy hazina radha bhana, valentine mfanyie ki2 kipya yule unayempenda na sio lazima mpenzi, sms 2mezoea just fanya ki2 tofauti na kawaida yako kitakachomfurahisha your valentine kilicho ndani ya uwezo wako.
 
Kweli kizazi cha sasa kwishiney mpaka maneno ya kwenye sms ya kumwambia mpenzio una copy na kupest??

Kweli utandawazi umewaharibu.
 
Kaazi kweli kweli!Dume zima nikacopy na ku paste sms za mtandaoni,sasa huyo Valentine nlimpataje??!!!!Mapenzi ni ushairi...
 
Back
Top Bottom