Vacancy UDSM

Hivi ni lini waajiri wataacha tabia ya kusema a person with not less than 5 years of working experience, pumbavu sasa waliomaliza chuo hivi karibuni mnataka waende wapi, au wewe unayeajiri ulimaliza chuo ukiwa na experience pumbavu zenu!
 
mkuu, mbona una lugha kali sana?
 
Hivi ni lini waajiri wataacha tabia ya kusema a person with not less than 5 years of working experience, pumbavu sasa waliomaliza chuo hivi karibuni mnataka waende wapi, au wewe unayeajiri ulimaliza chuo ukiwa na experience pumbavu zenu!

umenena kweli mkuu, utadhani nao walianza kazi wakiwa na hiyo experience
 
Huwa sifurahishwi na matangazo ambayo hayawekwi tarehe ya kutolewa halafu wanasema deadline ni "Two weeks from the first appearance of this Advertisement"
 
acha uvivu! umefungua link ya udsm ukaikosa? tatizo lako unataka upewe kila kitu. utakaa na degree yako mpaka uzeeke! changamsha akili yako aisee!

***Posted: 14th December 2010
 
The only organisation that nimeona wanaajiri direct from Chuo ni Access Bank, ingawa naona watu wanaiponda..... but imewasaidia wadogo zetu sana,,,,i think such waajiri wanasahau walipo toka... :(
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom