Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,111
We Sam acha uongo walokole walikutapeli niniKuna kitu kinaitwa haiba inajumuisha mwonekano, uongeaji wa MTU, fikra za mtu, uvaaji na yote yanayohusu mtu has a kwa nje na kidogo sana kwa ndani.
Walokole kutokana na mapokeo yao na haiba yao wengi wamejikuta wakivaa namna hiyo.
Hats ukaaji wao kanisani ni wa kipekee bila kusahau uswahili na utapeli.
Ntaongeza nyama muda c mrefu