Vaa ya walokole hunifurahisha sana

Kwakweli walokole wanaume hinifurahisha sana vaa yao.

Hupenda mashati ya kung'aa na rangi za kung'aa. Unakuta shati rangi ya zambarau au njano linang'aa na kola pana. Suruali zao nyingi huwa za kushonesha za kitambaa cha kung'aa. Zamani walikuwa wanashona suruali pana kupitiliza chini. Akivaa tai basi katakua kafupi kanene na kakung'aa vilevile.

Viatu wanapenda vyeupe, cheusi au vya rangi mbili. Kiatu kimechongoka kina rangi nyeupe na nyeusi.

Makoti wana ya aina nyingi. Kuna yale makubwa siku hizi hawavai sana, linakuwa linafika magotini. Unakuta nalo upande mmoja jekundu na ungine jeupe au jeusi. Kuna yale yanakuwa na viraka kwenye viwiko na mengine ya kawaida tu ila yanakuwa yanang'aa kama bati.
Ila jamaa huwa wacheshi sana.

KICHWA CHA HABARI KILIPASWA KUWA: NAMNA YA WALOKOLE WASHAMBA WANAVYOVAA, HALAFU UNAJUA WALOKOLE SIO WATU WALIOKOKA? WALOKOLE NI NANI? WALOKOLE NI WALUTHERI AU WAKATOLIKI AMBAYO HUYAFANYA MAMBO YA WATU WALIOKOKA LAKINI HAWATOKI KWENYE IMANI ZAO AU MAKANISA YAKO, KWA TAFSIRI HUU UNAWEZA KUTA WEWE NDO MLOKOLE
 
Kwakweli walokole wanaume hinifurahisha sana vaa yao.

Hupenda mashati ya kung'aa na rangi za kung'aa. Unakuta shati rangi ya zambarau au njano linang'aa na kola pana. Suruali zao nyingi huwa za kushonesha za kitambaa cha kung'aa. Zamani walikuwa wanashona suruali pana kupitiliza chini. Akivaa tai basi katakua kafupi kanene na kakung'aa vilevile.

Viatu wanapenda vyeupe, cheusi au vya rangi mbili. Kiatu kimechongoka kina rangi nyeupe na nyeusi.

Makoti wana ya aina nyingi. Kuna yale makubwa siku hizi hawavai sana, linakuwa linafika magotini. Unakuta nalo upande mmoja jekundu na ungine jeupe au jeusi. Kuna yale yanakuwa na viraka kwenye viwiko na mengine ya kawaida tu ila yanakuwa yanang'aa kama bati.
Ila jamaa huwa wacheshi sana.
Bila kusahau bible kubwa mkononi kila sehemu wanayoenda, hata kama anaenda sokoni kununua mboga ataibeba tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli walokole wanaume hinifurahisha sana vaa yao.

Hupenda mashati ya kung'aa na rangi za kung'aa. Unakuta shati rangi ya zambarau au njano linang'aa na kola pana. Suruali zao nyingi huwa za kushonesha za kitambaa cha kung'aa. Zamani walikuwa wanashona suruali pana kupitiliza chini. Akivaa tai basi katakua kafupi kanene na kakung'aa vilevile.

Viatu wanapenda vyeupe, cheusi au vya rangi mbili. Kiatu kimechongoka kina rangi nyeupe na nyeusi.

Makoti wana ya aina nyingi. Kuna yale makubwa siku hizi hawavai sana, linakuwa linafika magotini. Unakuta nalo upande mmoja jekundu na ungine jeupe au jeusi. Kuna yale yanakuwa na viraka kwenye viwiko na mengine ya kawaida tu ila yanakuwa yanang'aa kama bati.
Ila jamaa huwa wacheshi sana.
we jamaaa umefikiria nini kuandika hii mambo

Huendi mbingun!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom